Alternative ya Neno "Mkuu"

Great thinker wakitulia wanaweza kutuletea jina lingine zuri naona wasiridhike na hili
 
Kila siku kuna maendeleo hata jf wanaweza kuleta jina zaidi ya hili
 
Nadhani ni kuheshimiana tu kwa member wa humu so hakuna haja ya kubadilika.Kingine I'd hujui huyu ni nan usikute hata Mr president ana I'd yake humu so kutumia mkuu ni busara zaidi.
 
Ni heshima tu Mkuu bila kujali jinsia husika. Ukitaka mtongozo unabadili Mkuu na kuwa mupenzi, sweetlove, sweetheart chaguo lako Mkuu



Hii itakuwa ngumu maana huwezi kutambua ke na me fasta
 
Mkuu nakupongeza kwa kuliona hili lakin sijaona mbadala wake hadi sasa..

Ni neno la heshima kumuita mtu usiemfahamu
 
Salama wakuu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tutawaita chief'ke

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hili neno lina jitosheleza mkuu liendelee kutumika hakuna namna mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…