Alternative ya Neno "Mkuu"

Alternative ya Neno "Mkuu"

Hili neno halitakiwi kubadilika kwasababu linakidhi mahitaji ya matumizi ya hapa kwa usawa. Hapa haijalishi wewe ni mdogo au mkubwa, wa kiume au wa kike utaitwa "Mkuu" vinginevyo utaanza ubaguzi,,,,,ukisema "Chief" hili lina ukakasi huwezi kumwita mwanamke chief, Labda useme "Mwanachama" [emoji23][emoji23]
Great thinker wakitulia wanaweza kutuletea jina lingine zuri naona wasiridhike na hili
 
hili neno kamwe halitafutika jf maana ndio jina pekee lisilo na jinsia maalum,mwanamke,mtoto ,mtu mzima wakike au wa kiume unaweza mwita mkuu na lina fiti,mmana humu unaweza kuta mtu ana ID ya kike kumbe mwanaume au kinyume sojina mkuu linakubali mtu yoyote hata ma shemale
Kila siku kuna maendeleo hata jf wanaweza kuleta jina zaidi ya hili
 
Nadhani ni kuheshimiana tu kwa member wa humu so hakuna haja ya kubadilika.Kingine I'd hujui huyu ni nan usikute hata Mr president ana I'd yake humu so kutumia mkuu ni busara zaidi.
 
Ni heshima tu Mkuu bila kujali jinsia husika. Ukitaka mtongozo unabadili Mkuu na kuwa mupenzi, sweetlove, sweetheart chaguo lako Mkuu

Hii itakuwa ngumu maana huwezi kutambua ke na me fasta
 
Mkuu nakupongeza kwa kuliona hili lakin sijaona mbadala wake hadi sasa..

Ni neno la heshima kumuita mtu usiemfahamu
 
Hili neno halitakiwi kubadilika kwasababu linakidhi mahitaji ya matumizi ya hapa kwa usawa. Hapa haijalishi wewe ni mdogo au mkubwa, wa kiume au wa kike utaitwa "Mkuu" vinginevyo utaanza ubaguzi,,,,,ukisema "Chief" hili lina ukakasi huwezi kumwita mwanamke chief, Labda useme "Mwanachama" [emoji23][emoji23]
Tutawaita chief'ke

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hili neno lina jitosheleza mkuu liendelee kutumika hakuna namna mkuu.
 
Back
Top Bottom