Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #21
Great thinker wakitulia wanaweza kutuletea jina lingine zuri naona wasiridhike na hiliHili neno halitakiwi kubadilika kwasababu linakidhi mahitaji ya matumizi ya hapa kwa usawa. Hapa haijalishi wewe ni mdogo au mkubwa, wa kiume au wa kike utaitwa "Mkuu" vinginevyo utaanza ubaguzi,,,,,ukisema "Chief" hili lina ukakasi huwezi kumwita mwanamke chief, Labda useme "Mwanachama" [emoji23][emoji23]