Although it’s too late, Polepole ana hoja. Ni wazi ipo CCM malifedha, na wale wa CCM itikadi!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli.

Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi, haikuwa mambo ya masihara masihara.

Nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana, tusimamie miiko ya chama chetu ,tuzingatie imani ya chama chetu, zipo imani za chama hiki, na zinajieleza wazi wazi.

#Tuone haya, tupekuwa vijitabu vyetu, tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
 
Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya ccm,labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri ccm hii ni ccm malifedha,wale wenzangu na miye wa ccm itikati hakika inatutatiza kweli kweli,namaanisha siye tuliyecheza kwata,kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi,haikuwa mambo ya masihara masihara,nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana,tusimamie miiko ya chama chetu,tuzingatie imani ya chama chetu,zipo imani za chama hiki,na zinajieleza wazi wazi...
#Tuone haya,tupekuwa vijitabu vyetu,tuwe tunajikumbusha maadili yale!

Mkuu now you know!
It isn't dawn yet Coco!!
 
Misingi ya chama imharibika,sasa wahuni ndio wametamalaki,
Hao ndiyo ccm malifedha!,hawa wamesha pofuka macho kabisaa,hawa wanakimbizana na fedha na uroho wa madaraka,tunayo nafasi ya kujirekebisha bado ipo!,tunaumia kweli,sisi tuliopanda mabasi ya hosco na bhesco na watoto wa bw.nyirenda huyu kijana alikuwa shupavu kwelikweli,kwa kutupigasha kwata,unapiga mguu chini sawa sawa 😀
#October tuna tiki ✔️ 29/10/2025./Jumatano asubuhi hakikisha unawahi kituoni kwako!,baada ya kupiga kura rudi nyumbani kwako!,au kapalilie bustani yako ya mazao!
 
Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya ccm,labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri ccm hii ni ccm malifedha,wale wenzangu na miye wa ccm itikati hakika inatutatiza kweli kweli,namaanisha siye tuliyecheza kwata,kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi,haikuwa mambo ya masihara masihara,nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana,tusimamie miiko ya chama chetu,tuzingatie imani ya chama chetu,zipo imani za chama hiki,na zinajieleza wazi wazi...
#Tuone haya,tupekuwa vijitabu vyetu,tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Kama ulivyotangulia kuusema Ukweli kwamba ipo malifedha na ilikuwepo Asilia. Na kwamba all in all it’s not just a little too late but it’s already big too late ⏰ for Polepole and others alike !

Kwa sababu huwezi kutatua tatizo kama hujui tatizo lenyewe ni nini 😳 !

Akae kwa kutulia na wenzake ! 🤣🤷🏿‍♂️
 
Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli.

Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi, haikuwa mambo ya masihara masihara.

Nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana, tusimamie miiko ya chama chetu ,tuzingatie imani ya chama chetu, zipo imani za chama hiki, na zinajieleza wazi wazi.

#Tuone haya, tupekuwa vijitabu vyetu, tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Tulikubaliana ni July ,Bado mnasogeza tarehe mbele? 🤣🤣🤣
 
Kama ulivyotangulia kuusema Ukweli kwamba ipo malifedha na ilikuwepo Asilia. Na kwamba all in all it’s not just a little too late but it’s already big too late ⏰ for Polepole and others alike !

Kwa sababu huwezi kutatua tatizo kama hujui tatizo lenyewe ni nini 😳 !

Akae kwa kutulia na wenzake ! 🤣🤷🏿‍♂️
Well,understood....and thank you, wenye akili pevu tumekuelewa vizuri sana,kwa kinagaubaga!,na waswahili wana sama,(Ya ngoswe muachie ngoswe)
######
""all in all it’s not just a little too late but it’s already big too late ⏰ for Polepole and others alike""
#October 29,ni siku ya kupiga kura tujitokeze kwa wingi twende tukaitimize haki hii ya kwetu kama watanzania ya kimsingi kabisa.kwa ku tiki ✔️ na kurejea majumbani mwetu.
 
Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli.

Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi, haikuwa mambo ya masihara masihara.

Nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana, tusimamie miiko ya chama chetu ,tuzingatie imani ya chama chetu, zipo imani za chama hiki, na zinajieleza wazi wazi.

#Tuone haya, tupekuwa vijitabu vyetu, tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Ni kweli mkuu. Mi nakumbusha tu, kwamba katiba ndo sheria mama (sheria kuu). Chochote kinachopingana na katiba ni batili kwa kiasi cha kupingana kwake. Wakati mwingine tusijitie hamnazo kwa maslahi yetu binafsi. Humu JF si huwa tunajisifia tumesoma, hasa watu fulani, na wengine wao bado sana?
 
July kulikuwa na mpango gani?,tujuzane mkuu!,kwa sisi wakongwe wa siasa zetu,tunamuomba Allah atuvushe salama katika uchaguzi huu,upite buheri,mengine na marekebisho yaje fanyika huko mbeleni,Amin, inshallah.
Uzushi tuu wa kigogo na yule kahaba kupata attention, viewers Kwa wajinga.

SSH hagombei ,mara amesisa ,sijui kakimbilia Zenj na nonsense zingine kama hizo.
 
Ni kweli mkuu. Mi nakumbusha tu, kwamba katiba ndo sheria mama (sheria kuu). Chochote kinachopingana na katiba ni batili kwa kiasi cha kupingana kwake. Wakati mwingine tusijitie hamnazo kwa maslahi yetu binafsi. Humu JF si huwa tunajisifia tumesoma, hasa watu fulani, na wengine wao bado sana?
Katiba ipi?,kuna za vyama na ya kitaifa,
Katiba ya kitaifa,bunge ndiyo mahala pake!
Katiba ya vyama,chama ndipo mahala pake!,chama kinayo mamlaka yake kwa kuzingatia vikao vyake na wajumbe waliokamilika kufanya maamuzi yake,sahihi.(Bila mjadala wowote,kwa sababu ni maamuzi ya chama husika.)
 
Uzushi tuu wa kigogo na yule kahaba kupata attention, viewers Kwa wajinga.

SSH hagombei ,mara amesisa ,sijui kakimbilia Zenj na nonsense zingine kama hizo.
Mgombea wetu ni Dr.Samia suluhu hassan kwa CCM ✔️
Rais mwenye maono marefu sana, KWALA illkija kushika kasi na viwanda tarajiwa vyote 200,vikawepo eneo lile,tutaondosha tatizo la ajira kwa kiwango kikubwa kweli,
Hongera!
 
Back
Top Bottom