Although it’s too late, Polepole ana hoja. Ni wazi ipo CCM malifedha, na wale wa CCM itikadi!

Although it’s too late, Polepole ana hoja. Ni wazi ipo CCM malifedha, na wale wa CCM itikadi!

Hao ndiyo ccm malifedha!,hawa wamesha pofuka macho kabisaa,hawa wanakimbizana na fedha na uroho wa madaraka,tunayo nafasi ya kujirekebisha bado ipo!,tunaumia kweli,sisi tuliopanda mabasi ya hosco na bhesco na watoto wa bw.nyirenda huyu kijana alikuwa shupavu kwelikweli,kwa kutupigasha kwata,unapiga mguu chini sawa sawa 😀
#October tuna tiki ✔️ 29/10/2025./Jumatano asubuhi hakikisha unawahi kituoni kwako!,baada ya kupiga kura rudi nyumbani kwako!,au kapalilie bustani yako ya mazao!
October mnaenda kutiki ili familia za hao malifedha waweze kupata uhalali wa kuimiliki hii nchi kifamilia huku wewe na Lucas Mwashambwa mkiendelea kupiga tu domo huku.
 
Katiba ipi?,kuna za vyama na ya kitaifa,
Katiba ya kitaifa,bunge ndiyo mahala pake!
Katiba ya vyama,chama ndipo mahala pake!,chama kinayo mamlaka yake kwa kuzingatia vikao vyake na wajumbe waliokamilika kufanya maamuzi yake,sahihi.(Bila mjadala wowote,kwa sababu ni maamuzi ya chama husika.)
Nazungumzia katiba ya JMT. Ikitokea kuna katiba yoyote nchini inayopingana na ya JMT, basi katiba hiyo au kifungu hicho cha katiba ni batili.
 
October mnaenda kutiki ili familia za hao malifedha waweze kupata uhalali wa kuimiliki hii nchi kifamilia huku wewe na Lucas Mwashambwa mkiendelea kupiga tu domo huku.
Hatukujengwa kwa misingi ya ghadhabu,au mfumo wa kususa,kususa hakusaidii lolote!, akina lissu ndiyo mifumo wanayoitumia kwa kuwajaza watu morale usiosaidia lolote na mwishowe watu kuumia bure kabisa,hiki chama chetu hakipo hivyo hata mkitofautiana basi mtamaliza tofauti kwa vikao,hata pole pole siyo kana kwamba amefuata taratibu za chama hapana,amekusea,unapoona dosari ruksa,kumwandikia mwenyekiti,na kumuomba nafasi katika chama,kisha kumueleza kusudio lako kwa yale unayoyaona,naye atakujibu anafikiri nini kifanyike!kwa wakati gani?,sasa mtu ambaye ameshashika nyadhfa kubwa ndani ya chama chetu,na anafikia kuishi kama digidigi hili halileti sura nzuri,amekosea pahala!
 
CCM ilikufa pale tu Mzee wa Msoga alipoingia madarakani. Jiwe naye alijaribu kutengeneza CCM yake ya kumsujudia na kumtukuza! Bahati mbaya na yeye alipo anguka tu, wahuni wakiongozwa na Msoga gang, wameiteka tena.

Kwa hiyo Team Jiwe mjiandae kwa maumivu makali kwenye uchafuzi wa mwaka huu. Kama mlivyowafanyia Msoga gang 2020, na nyinyi safaro hii mtafanyiwa vile vile.
 
Madiwani wote mliotuaibisha,mkapigiwe kura upya!,
########
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imeelekeza wagombea wote wa nafasi ya udiwani waliopitishwa na Kamati za Siasa za Mikoa pamoja na waliokuwa kwenye orodha ya awali, kurejeshwa kwa wapiga kura kwa ajili ya kura za maoni upya.

Maelekezo hayo yametolewa kufuatia kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Alhamis, Julai 31, 2025, mjini Dodoma, ambacho kilijadili kwa kina malalamiko mbalimbali kuhusu mchakato wa awali wa uteuzi wa wagombea wa nafasi hiyo kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Sekretarieti, hatua hiyo inalenga kuhakikisha haki, usawa na demokrasia vinazingatiwa kikamilifu katika mchakato wa ndani ya Chama.

"Wagombea wote wa udiwani wa kata waliopitishwa na Kamati za Siasa za Mikoa, pamoja na walioko kwenye orodha ya awali waliotumiwa kwa Makatibu wa Mikoa, warejeshwe ili wapigiwe kura za maoni," imesema taarifa hiyo.

Aidha, kikao hicho cha Sekretarieti kimefuta rasmi maelekezo yote yaliyotolewa awali kuhusu mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya udiwani. Makatibu wote wa CCM wa Mikoa wameelekezwa kuhakikisha wanatekeleza maagizo haya mapya kwa ukamilifu na kwa wakati.

@ccmtanzania
#ManaraTvUpdate
1754027144371.jpg
 
Na itakuwa ni Kazi ngumu sana
Ni kazi ngumu sana mpaka apatikane Mwamba mwingine kweli kweli na aamue kufanya kweli kweli !

Tulimuona Mwamba mmoja aliyepita alivyoweza kuwapigisha kwata wote tuliodhani hawawezekani lakini kwake walitulia kama maji mtungini !

Kumbe inawezekana ni uamuzi wa atakaye amua kwamba sasa Basi tunarudi lakini ni lazima awe Mwamba kweri kweri kama Jiwe. 🤣😳😅
 
Kwani Itikadi ya CCM ni ipi?
Itikadi ya kwanza kabisa ambayo inaonyesha dhamira ya kweli ya Uzalendo ni Kutokujimbikizia Mimali 😳 !😄😄😅😅🤣🤣 !

Hiyo ndio inayoanza kisha zinafuata nyingine !
Ikikosekana hiyo ya kwanza nyingine zote zinakuwa ni bure tu. 😳🙄🙌🤷🏿‍♂️ !
 
Ni kazi ngumu sana mpaka apatikane Mwamba mwingine kweli kweli na aamue kufanya kweli kweli !

Tulimuona Mwamba mmoja aliyepita alivyoweza kuwapigisha kwata wote tuliodhani hawawezekani lakini kwake walitulia kama maji mtungini !

Kumbe inawezekana ni uamuzi wa atakaye amua kwamba sasa Basi tunarudi lakini ni lazima awe Mwamba kweri kweri kama Jiwe. 🤣😳😅
Chama kipo makini kweli dhidi ya watu wenye misimamo mikali na migumu.
 
Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli.

Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi, haikuwa mambo ya masihara masihara.

Nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana, tusimamie miiko ya chama chetu ,tuzingatie imani ya chama chetu, zipo imani za chama hiki, na zinajieleza wazi wazi.

#Tuone haya, tupekuwa vijitabu vyetu, tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Naona upo kihistoria zaidi,
Ccm unayoongelea ilizikwa kitambo sana. Hii ya sasa inadharau, kupuuza na kutupilia mbali maoni, mapendekezo na matakwa ya umma.

Wana Kisesa wanamtaka Mpina ila wamepewa CHAWA fulani wasiyemtaka na hawana cha kufanya, labda wahamie Burundi.

View: https://youtube.com/shorts/HogKfwbHpAQ?si=Y5XXnsMVFJHyEDQk
 
Nimeandika zaidi ya mara moja kuwa CCM ya sasa si CCM ile Baba wa Taifa alitaka iwe, mlivyo na ushabiki wa kichawa wana CCM wa JF hamkutaka (mlipofushwa kimsukule) kuliona hilo mapema.
Kwa sababu huwezi kutatua tatizo kama hujui tatizo lenyewe ni nini 😳 !

Akae kwa kutulia na wenzake ! 🤣🤷🏿‍♂️

Back
Top Bottom