Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mkuu now you know!Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya ccm,labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri ccm hii ni ccm malifedha,wale wenzangu na miye wa ccm itikati hakika inatutatiza kweli kweli,namaanisha siye tuliyecheza kwata,kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi,haikuwa mambo ya masihara masihara,nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana,tusimamie miiko ya chama chetu,tuzingatie imani ya chama chetu,zipo imani za chama hiki,na zinajieleza wazi wazi...
#Tuone haya,tupekuwa vijitabu vyetu,tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Hao ndiyo ccm malifedha!,hawa wamesha pofuka macho kabisaa,hawa wanakimbizana na fedha na uroho wa madaraka,tunayo nafasi ya kujirekebisha bado ipo!,tunaumia kweli,sisi tuliopanda mabasi ya hosco na bhesco na watoto wa bw.nyirenda huyu kijana alikuwa shupavu kwelikweli,kwa kutupigasha kwata,unapiga mguu chini sawa sawa 😀Misingi ya chama imharibika,sasa wahuni ndio wametamalaki,
Nafasi ya kujirekebisha bado ipo,turudi kwenye imani za chama CHETU.Naunga mkono hoja
Kama ulivyotangulia kuusema Ukweli kwamba ipo malifedha na ilikuwepo Asilia. Na kwamba all in all it’s not just a little too late but it’s already big too late ⏰ for Polepole and others alike !Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya ccm,labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri ccm hii ni ccm malifedha,wale wenzangu na miye wa ccm itikati hakika inatutatiza kweli kweli,namaanisha siye tuliyecheza kwata,kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi,haikuwa mambo ya masihara masihara,nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana,tusimamie miiko ya chama chetu,tuzingatie imani ya chama chetu,zipo imani za chama hiki,na zinajieleza wazi wazi...
#Tuone haya,tupekuwa vijitabu vyetu,tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Tulikubaliana ni July ,Bado mnasogeza tarehe mbele? 🤣🤣🤣Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli.
Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi, haikuwa mambo ya masihara masihara.
Nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana, tusimamie miiko ya chama chetu ,tuzingatie imani ya chama chetu, zipo imani za chama hiki, na zinajieleza wazi wazi.
#Tuone haya, tupekuwa vijitabu vyetu, tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Well,understood....and thank you, wenye akili pevu tumekuelewa vizuri sana,kwa kinagaubaga!,na waswahili wana sama,(Ya ngoswe muachie ngoswe)Kama ulivyotangulia kuusema Ukweli kwamba ipo malifedha na ilikuwepo Asilia. Na kwamba all in all it’s not just a little too late but it’s already big too late ⏰ for Polepole and others alike !
Kwa sababu huwezi kutatua tatizo kama hujui tatizo lenyewe ni nini 😳 !
Akae kwa kutulia na wenzake ! 🤣🤷🏿♂️
July kulikuwa na mpango gani?,tujuzane mkuu!,kwa sisi wakongwe wa siasa zetu,tunamuomba Allah atuvushe salama katika uchaguzi huu,upite buheri,mengine na marekebisho yaje fanyika huko mbeleni,Amin, inshallah.Tulikubaliana ni July ,Bado mnasogeza tarehe mbele? 🤣🤣🤣
Anafikiri ataishi milele!Na jk ndio mhuni mkuu!
Na itakuwa ni Kazi ngumu sanaNafasi ya kujirekebisha bado ipo,turudi kwenye imani za chama CHETU.
Ni kweli mkuu. Mi nakumbusha tu, kwamba katiba ndo sheria mama (sheria kuu). Chochote kinachopingana na katiba ni batili kwa kiasi cha kupingana kwake. Wakati mwingine tusijitie hamnazo kwa maslahi yetu binafsi. Humu JF si huwa tunajisifia tumesoma, hasa watu fulani, na wengine wao bado sana?Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli.
Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati unacheza chipukizi, haikuwa mambo ya masihara masihara.
Nakipenda chama hiki nimetoka nacho mbali sana, tusimamie miiko ya chama chetu ,tuzingatie imani ya chama chetu, zipo imani za chama hiki, na zinajieleza wazi wazi.
#Tuone haya, tupekuwa vijitabu vyetu, tuwe tunajikumbusha maadili yale!
#Tulipanda mabasi ya bhesco kuelekea uwanja wa taifa kupiga kwata!,tunaumia kweli.
Alamsiki..,....
#Mal
Uzushi tuu wa kigogo na yule kahaba kupata attention, viewers Kwa wajinga.July kulikuwa na mpango gani?,tujuzane mkuu!,kwa sisi wakongwe wa siasa zetu,tunamuomba Allah atuvushe salama katika uchaguzi huu,upite buheri,mengine na marekebisho yaje fanyika huko mbeleni,Amin, inshallah.
Katiba ipi?,kuna za vyama na ya kitaifa,Ni kweli mkuu. Mi nakumbusha tu, kwamba katiba ndo sheria mama (sheria kuu). Chochote kinachopingana na katiba ni batili kwa kiasi cha kupingana kwake. Wakati mwingine tusijitie hamnazo kwa maslahi yetu binafsi. Humu JF si huwa tunajisifia tumesoma, hasa watu fulani, na wengine wao bado sana?
Mgombea wetu ni Dr.Samia suluhu hassan kwa CCM ✔️Uzushi tuu wa kigogo na yule kahaba kupata attention, viewers Kwa wajinga.
SSH hagombei ,mara amesisa ,sijui kakimbilia Zenj na nonsense zingine kama hizo.
Mwambieni Slow Slow kwamba Oktoba watu Wanatiki ✔️✔️ Kwa Saa 💯 💯Mgombea wetu ni Dr.Samia suluhu hassan kwa CCM ✔️