Although ni watu special sana, ila kuna kitu hakiko sawa kuhusu wanawake

Although ni watu special sana, ila kuna kitu hakiko sawa kuhusu wanawake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
🙎Species inayoweza kumuelewa mwanamke ni mwanamke mwenzake, ndio maana wanachukiana.

🙅 Ukitaka kupoteza demu, wewe kuwa nice boy uone, then uki react kama bad boy kutokana na ukaidi wao unaitwa muonevu.

🙎 Uwajibikaji wa makosa kwa mwanamke ni kama maji na mafuta. Siku zote kwao anaekosea ni mwanaume.

🤦 Mwanamke hakomi. Kama wangekuwa wanakoma baada ya kuadhibiwa kutokana na ukaidi wao usinge muona baba yako anampiga mama yako mara kwa mara.

💇 Only time ambapo mwanamke anaweza akaridhika ni pale utampofanyia kitu cha kuboresha muonekano wake na sifa yake mtaani, ila ataridhika kwa muda, hatengenezi mark moyoni.

🤷 Mwanamke anatumia muda mwingi kukuchunguza kama unamchezea foul yeye kuliko kujichunguza yeye kama anakukosea wewe.

🧖 The more unavyokuwa mwema kwa mwanamke, the more anavyozidisha dharau kwako.

🧑‍🍼Asilimia kubwa sana ya wanawake walioko na nyie ni kwa sababu ya dhamana fulani kwenu. e.g watoto wake kama single mother, wewe ndio ulikuwa una pesa zaidi ya boyfriends wa rafiki zake, familia yenu ndio ilikuwa maarufu kijijini, ulikuwa na harrier mpenzi wake alikuwa na spacio, etc

🫦 Wanawake ni wadhaifu katika cheating. Wanaume wengi waanacheat kutokana mawazo ya kiporno porno wliyonayo ila nyumbani heshima inabakia 100% ila wanawake wengi waki cheat hadi vyombo vya nyumani ndio anabebea kumpelekea mchepuko chakula gesti hata mtoto mdogo anaweza kwenda nae gesti amuache mapokezi amsubirie amalizane na njemba yake.


View: https://youtube.com/shorts/PC6lEODpu3I?si=kssk95IbBSoO_M1u
 
🫦 Wanawake ni wadhaifu katika cheating. Wanaume wengi waanacheat kutokana mawazo ya kiporno porno wliyonayo ila nyumbani heshima inabakia 100% ila wanawake wengi waki cheat hadi vyombo vya nyumani ndio anabebea kumpelekea mchepuko chakula gesti hata mtoto mdogo anaweza kwenda nae gesti amuache mapokezi amsubirie amalizane na njemba yake
Mzee Mengi alienda kuoa nje ya nchi ili asipate pingamizi na wosia aliacha Mali apewe suria lake.. hii imekaaje??!!
Achilia hao wanaume wanaokimbia na kutelekeza familia zao na kukimbilia kwa michepuko huwa wanatumia bandama?
 
Mzee Mengi alienda kuoa nje ya nchi ili asipate pingamizi na wosia aliacha Mali apewe suria lake.. hii imekaaje??!!
Achilia hao wanaume wanaokimbia na kutelekeza familia zao na kukimbilia kwa michepuko huwa wanatumia bandama?
Haha mna wachanganya, mnawalaghai alafu mnawafanyizia, unategemea msipatw goal?
 
Ishi nao kwa akili, tatizo wengi wamewazidi maarifa ndio maana wanaponda mioyo yenu.

Mmeaswa muishi nao kwa akili ninyi mnaishi nao kwa hisia kama wao wanavyoishi na ninyi, mbaya zaidi mnataka na wao wafikiri kama ninyi, haiwezekani hiyo.

Unajua fika kipaumbele chake ni kupendeza na kuonekana mrembo mbele ya rafiki zake, wewe unamkataza ati ni matumizi mabaya ya pesa. Kijana mwingine mjanja akijua kucheza na hisia zake akamteka kwa kumpa hereni za bukubuku unaishia kulialia.
 
Back
Top Bottom