Although ni watu special sana, ila kuna kitu hakiko sawa kuhusu wanawake

Nikishaonaga boy, boy naona bado ni utoto. Nakumbuka vijana wangu walipobalee. Unakuta Signature yake ni Hussle Boy na wenzake badala ya kumuita jina ulilompa lets say Filimbi wao wanamwita Hussle.

Weekend Kabinti kanakuja, unakasikia kanaamkia mama Filimbi huko, Shikamoo, nimemkuta Husstle? Kanaulizwa nani? Kanajibu, Filimbi.
 
Well said
 
Kila siku huwa nasema namna pekee ya mwanaume kuwa salama mbele ya mwanamke ni kujipa kipaumbele wewe mwenyewe kwenye kila kitu.

Mwanaume pia unahitaji kula vizuri, kuvaa vizuri, kulala vizuri na kuishi vizuri.
Hakika.
 
Hawa watu balaa aisee, me nahisi huyu ndo anaelekea kuniua sasa nife kabisa.Maana like namuelewa,na wanasemaga ukianza kumwelewa mwanamke jua ndo unaelekea kufa
Hahaahh daah
 
Aisee
 
Mkuu kwann umuite kijana wetu Filimbi lakn? Hata me ningetafta nickname, kaua sana dogo Hussle boy πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kama ilivyo kwa wanaume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…