Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
- Thread starter
-
- #21
Kwa mobile ni changamoto sana labda kama unasimu yenye interface nzuri lasivyo pc ni muhimu sana mkuuu
Maaana kuna mambo ya programming na web designing na sql systems zote hizo zinataka practical za kwenye desktop au pc
Ningeshauri uwe na laptop tu mobile si vixuri kwenye mambo haya
Na bando hapo ukibania sana itakukula 3k daily
Maana wana magroup yao Whatsapp kama 2 na members 500 each pia
Wana magroup kwenye app ya slack
Hivyo ni kazi kweli inataka unlimited bundle
Ila ukifocus unatoboa tu
Asante kwa taarifa,na hiyo full time masaa 10 hakuna break hata kidogo,or ni kama shule break sa 4 na sa sitaKama una experience kucode kwa language yeyote itakua rahisi hata ku-save bando maana utakua unafahamu namna ya kupata materials
Hivi wana ruhusu mtu kama atapenda kusoma data analytics halafu badae uunge data science??or ukishasoma cozi moja tu basi.kwa mobile unaweza kusurvive wiki chache au usiweze kabisa
Acha uongoNo course ni hiyo tu mkuuu 😂
Hamna nyingine
Hapana mkuu,pengine nayeye kajaribu kufungua link hapo juu ikagoma kama mimi ilivyonigomea,kwahyo hajapata update za taarifa husika,sio muongo ila hakupata taarifa sahihi tu.Acha uongoView attachment 2526230
Unaweza kusoma lakini ni kozi moja kwa wakat, ukigraduate unaweza soma na nyingineHivi wana ruhusu mtu kama atapenda kusoma data analytics halafu badae uunge data science??or ukishasoma cozi moja tu basi.
Yaani masaa kumi yanafika na zaidi kutokana na task za siku husika, just imagine kwenye c programming kwa siku unakutana na task kumi na sita ni task heavy, deadline ni siku moja na zimeongozana balaaAsante kwa taarifa,na hiyo full time masaa 10 hakuna break hata kidogo,or ni kama shule break sa 4 na sa sita
Pia kuna peer learning day siku ambayo mnafundishana kama wanafunzi maana hawana official classesAsante kwa taarifa,na hiyo full time masaa 10 hakuna break hata kidogo,or ni kama shule break sa 4 na sa sita
Sawa,nzuri sana Hii,ngoja tu tutafte hyo desktop au laptop,Hii ya bure so ya kujivunga kabisa hata kama tutalipa baada ya masomo mdogo mdogo ila maarifa mtu unakua ushapata.Unaweza kusoma lakini ni kozi moja kwa wakat, ukigraduate unaweza soma na nyingine
Duh!!kumbe so mchezo,chuo kioo konki hiki khaa!!Yaani masaa kumi yanafika na zaidi kutokana na task za siku husika, just imagine kwenye c programming kwa siku unakutana na task kumi na sita ni task heavy, deadline ni siku moja na zimeongozana balaa
Hamna malipo iko fully sponsored.. Fursa hii ikipotea ndio basi hio.Sawa,nzuri sana Hii,ngoja tu tutafte hyo desktop au laptop,Hii ya bure so ya kujivunga kabisa hata kama tutalipa baada ya masomo mdogo mdogo ila maarifa mtu unakua ushapata.
Hatari wanaandaa problem solvers na critical thinkersDuh!!kumbe so mchezo,chuo kioo konki hiki khaa!!
kwahiyo unapiga mbele na nyuma
Hii inafaa watu wenye uhakika wa 💰 sio bodaboda au njaa njaa ambao wasipofanya kazi siku moja wanakufa na njaaKama ni hivyo mnavyosema basi hawajapanga curriculum yao vizuri, nachukia sana watu wanaodhani kujifunza ni lazima kuwe mateso ya namna hiyo, pia ni ubaguzi wa aina fulani, kwa maisha ya Afrika inabidi utoke familia ya aina fulani 💰 uweze kutumia masaa 10 kwa siku kwa shughuli isiyolipa na inacost kwako.
Ni kama suicide hivi, time, money, plus unlimited materials kupitia. Kwa mazingira yetu haiko sawa ila sababu ya tech nayo haiendi slow inabidi nao wakimbize balaaKama ni hivyo mnavyosema basi hawajapanga curriculum yao vizuri, nachukia sana watu wanaodhani kujifunza ni lazima kuwe mateso ya namna hiyo, pia ni ubaguzi wa aina fulani, kwa maisha ya Afrika inabidi utoke familia ya aina fulani 💰 uweze kutumia masaa 10 kwa siku kwa shughuli isiyolipa na inacost kwako.
Eti,kwenye tutorial mbali na laptop,calculator inaweza hitajika?Unaweza kusoma lakini ni kozi moja kwa wakat, ukigraduate unaweza soma na nyingine
Mh! Inaweza maybe sababu kuna calculations fulani fulani ila sio mandatory, unaweza tumia hata calculator ya simu, ama diwnload scuentific calculatorEti,kwenye tutorial mbali na laptop,calculator inaweza hitajika?
Na ni five days a week weekends kunakua hamna tasks, na siku ambazo hazina tasks ni zile za PLD , so kuna wiki unaweza pata siku hata tatu tu ndio zenye kazi zingine ni P.SLet me try..ila 10 hrs a day sio mchezo..angalau wangeweka angala 3 days a week