Alx software engineering programme

Alx software engineering programme

Kama una experience kucode kwa language yeyote itakua rahisi hata ku-save bando maana utakua unafahamu namna ya kupata materials
Kwa mobile ni changamoto sana labda kama unasimu yenye interface nzuri lasivyo pc ni muhimu sana mkuuu

Maaana kuna mambo ya programming na web designing na sql systems zote hizo zinataka practical za kwenye desktop au pc

Ningeshauri uwe na laptop tu mobile si vixuri kwenye mambo haya

Na bando hapo ukibania sana itakukula 3k daily

Maana wana magroup yao Whatsapp kama 2 na members 500 each pia
Wana magroup kwenye app ya slack
Hivyo ni kazi kweli inataka unlimited bundle

Ila ukifocus unatoboa tu
 
No course ni hiyo tu mkuuu 😂

Hamna nyingine
Acha uongo
Screenshot_20230222-144649_Chrome.jpg
 
Asante kwa taarifa,na hiyo full time masaa 10 hakuna break hata kidogo,or ni kama shule break sa 4 na sa sita
Yaani masaa kumi yanafika na zaidi kutokana na task za siku husika, just imagine kwenye c programming kwa siku unakutana na task kumi na sita ni task heavy, deadline ni siku moja na zimeongozana balaa
 
Kama ni hivyo mnavyosema basi hawajapanga curriculum yao vizuri, nachukia sana watu wanaodhani kujifunza ni lazima kuwe mateso ya namna hiyo, pia ni ubaguzi wa aina fulani, kwa maisha ya Afrika inabidi utoke familia ya aina fulani 💰 uweze kutumia masaa 10 kwa siku kwa shughuli isiyolipa na inacost kwako.
 
Hii inafaa watu wenye uhakika wa 💰 sio bodaboda au njaa njaa ambao wasipofanya kazi siku moja wanakufa na njaa

Hio haiwafai kabisa
 
Kama ni hivyo mnavyosema basi hawajapanga curriculum yao vizuri, nachukia sana watu wanaodhani kujifunza ni lazima kuwe mateso ya namna hiyo, pia ni ubaguzi wa aina fulani, kwa maisha ya Afrika inabidi utoke familia ya aina fulani 💰 uweze kutumia masaa 10 kwa siku kwa shughuli isiyolipa na inacost kwako.
Ni kama suicide hivi, time, money, plus unlimited materials kupitia. Kwa mazingira yetu haiko sawa ila sababu ya tech nayo haiendi slow inabidi nao wakimbize balaa
 
Back
Top Bottom