Alx software engineering programme

Mh! Inaweza maybe sababu kuna calculations fulani fulani ila sio mandatory, unaweza tumia hata calculator ya simu, ama diwnload scuentific calculator
Sawa,nimeuliza tu, cuz nina calculator yangu hapa(zile za shuleni,) nataka niipige bei niongezee ela ya pc.nimeona nisije kuuza halafu nikute kwenye kozi inahitajika tena.
 
 
Bila kusahau kwamba program inahita waty ambao wako commited 100% na pia uwe tayari kufanya vitu vigumu DO HARD THINGS kama slogan yao inavyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…