Inaendeleaje hii kitu?
Kusema ukweli soko la ajira kwa programming limeyumba vibaya sana kwa watu wapya nchi za magharibi, nadhani mmeona watu wanavyoachishwa kazi, bootcamps ni ngumu kuzisikia siku hizi.
Sijui kwa Africa hali ikoje na kama hii kitu bado "inalipa" hasa kwa mateso haya.