JaidenG
JF-Expert Member
- Oct 4, 2021
- 740
- 969
Daaah wapi huko mkuujuzi tu wametoa fursa aisee na tayari wameshachukua watu kozi inaanza tarehe 17
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah wapi huko mkuujuzi tu wametoa fursa aisee na tayari wameshachukua watu kozi inaanza tarehe 17
vipi ulifanikiwa?Sawa,nimeuliza tu, cuz nina calculator yangu hapa(zile za shuleni,) nataka niipige bei niongezee ela ya pc.nimeona nisije kuuza halafu nikute kwenye kozi inahitajika tena.
Mbona kutishana, natamani sana kujifunza data analyticsBila kusahau kwamba program inahita waty ambao wako commited 100% na pia uwe tayari kufanya vitu vigumu DO HARD THINGS kama slogan yao inavyosema