AM FINISHED!!! You ladies why?????

AM FINISHED!!! You ladies why?????

Jamani pole ila hebu enyi wakaka wa siku hizi mtujuze, hivi unawezampenda msichana hadi kumtongoza pasipo kufuatilia tabia zake, kujua habari zake kwa kuulizia watu wanaomfahamu?

Ina maana ofc nzima haijui kama ni mke wa mtu, ungewauliza/ulizia na kwa kuwa wewe ni mgeni wangekwambia tu!!Pole lakini. Huyo mdada ana matatizo, its all that I can say.

Mwanaume ukikutana na mwanamke aliye na guts za kumponda mumewe/mwanaume wake aliyenaye kwa minajili ya kukuvutia wewe, jua ana matatizo na hata akishaachana nawe , atakuponda tu kwa ajaye!"! I guess hata kwa wakaka huwa ni the same..........
 
Achana nae huyo dada, amemchukua huyo kaka kukutia wivu wewe, kwa ajili ulimkataa, na kweli amekukamata maana mpaka kuleta hapa roho inakudunda haswa, cha muhimu tafuta gf wako kuwa nae bize ili kupunguza muda wa kumuwazia huyo mama, na sie wake za watuuuu?????
 
ha ivi ehh?nitaacha sasaupoo lakini,?wanyamwezi tunakuja huko,
Yupps....na hivi unamwambia kila mtu nineanza kua na wasiwasi na Unyamwezi wako.Sasa hivi hata ukoniambia hutohangaika na pre nup nafikiria mara mbili mbili!!
 
Nawe naye Tatizo wataka kila mtu akwambiaLizzy you're very smart ...Poleee mamiii..
Hata sitaki japo nimefurahi....ulichonifanyia juzi naomba nikwambie rasmi nikifa hata kitamba cha kichwanu sikuandikii!
 
Duh! Achana nae tu endelea na mambo yako. Mwisho wa ubaya aibu.
 
Hata sitaki japo nimefurahi....ulichonifanyia juzi naomba nikwambie rasmi nikifa hata kitamba cha kichwanu sikuandikii!
Wasn't my fault ... wee ulivyokuwa Unakoroma .... sasa hivi waniletea hasira Zako.. kufa hufi mpaka nilipizie.. Baada ya masaa mawili ntakufundisha ....
 
Wasn't my fault ... wee ulivyokuwa Unakoroma .... sasa hivi waniletea hasira Zako.. kufa hufi mpaka nilipizie.. Baada ya masaa mawili ntakufundisha ....
Yani huo muda unaodhani nlikua nakoroma nlikua nashikilia macho kwa mkono yasifunge...nwy tuache kuchakachua thread ya watu kabla mwenyewe hajarudi!Tegemea kufurahi wiki hii lakini....
 
Daahhh
Pole sana mkuu
Kama ndio umeanza hizi sarakasi
Na mazingaubwe ya ku date kaza
mwendo kwani mchana bado kweupe..
Ukifikisha 5 hivi hapo sasa umesha kuwa konkody.. hutaingia gizani kirahisi..
Nachukua muda kumjua mtu kama
Unatafuta wa kuoa...

Mmmhhh siku nyingiine ukinunua takeaways
Usipeleke nyumbani .. kula barabarani au simamisha gari mahali...

Hujanielewa ni PM
Afrodenzi unamaneno magumu!! mikama sijakuelewa vile,hizi sasa ni takeaways au takeaways from home??
 
Yupps....na hivi unamwambia kila mtu nineanza kua na wasiwasi na Unyamwezi wako.Sasa hivi hata ukoniambia hutohangaika na pre nup nafikiria mara mbili mbili!!

nilikuwa nshasahau
umenikumbusha pre nup
ngoja ntafute lawyer lol
inabidi kila mtu ajue..
usishangae ukakuta kuna ka kingdom ninakaongoza.
nyamwezi empire lol
 
Pole sana mkuu ila hapo ni wazi uligeuzwa ATM huyu dada anaonekana hana lolote she is just a gold digger cha msingi mshukuru Mungu kwa kukufungua macho mapema tulia utapata tu a woman u deserve.
 
Yani huo muda unaodhani nlikua nakoroma nlikua nashikilia macho kwa mkono yasifunge...nwy tuache kuchakachua thread ya watu kabla mwenyewe hajarudi!Tegemea kufurahi wiki hii lakini....
Saa si unaona sasa kumbeulikuwa unajifanyisha..Kwa nini nifurahi kwani u..mekamilishaIle ishu.. kama ulivyosema tusichakachueI mean tusiendelee.. nakuja baada ya masaa mawili..
 
Afrodenzi unamaneno magumu!! mikama sijakuelewa vile,hizi sasa ni takeaways au takeaways from home??
Takeaways chakula mfano fast foodKFC, burger king, mc Donald, pizza etc ..Hiyo ni mifano tu sentence yangu ina maana nyingine ..
 
jamani wana jf habari,

mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja kubwa tuu na mshahara wangu mzuri tuu najimudu vyema. Wakati naanza kazi nikakutana na mdada mmoja ambaye alitokea kunipenda ghafla nikajikuta nimeshaingia kingi bila kujijua. Maskini ya mungu kumbe ni mke wa mtu na hakuwa na pete na mimi kwa ugeni wangu sikulijua hilo. When i realised that nilijuta sana na bahati nzuri jama hakujua, maana sijui ingekuwaje.

Huyo dada alivyogundua kuwa nimejua akawa analia lia tuuuu na kunibembeleza kuwa huko kwa mumewe hapati chochote jamaa hovyo. Akawa ananisifia kuwa endapo nitamwacha atajiua, hivyo tuwe wapenzi kisiri siri. Nikaamua kumuacha step by step, bila yeye kujua. Nikawa napunguza frequency za kukutana na yeye taratibu. Alivyoona vile akaenda akamchukua mfanyakazi mwenzangu pale ofisini akawa substitute yangu. Baadaye akaanza kuniponda tena na majungu kibao, mpaka sasa anaendelea kufanya hivyo huku akijua kuwa mimi najua hilo na anaona sawa.

Jamani dunia imekwisha, nimetafakari sana hivi ningefumaniwa na mumewe ningekuwa wapi sasa!!! Mtuoneee huruma jamani akina dada muwe na uzalendo muwe wawazi. Am tired and i dont trust a woman naona bora niishi kivyangu vyangu tuu.


mhm ni kawaida tu, ndivyo walivyo kwa wengine, wakati jamaa mwanzo
yuko naye kabla ya ndoa akujua jamaa amrizishi.
 
Back
Top Bottom