The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mstari mpya wa kutongoza nini?!Maana naona tangu juzi unautumia sana...
ha ivi ehh?
nitaacha sasa
upoo lakini,?
wanyamwezi tunakuja huko,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mstari mpya wa kutongoza nini?!Maana naona tangu juzi unautumia sana...
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhuyo mdada mke wa mtu
anapatikana wapi ?lol
Nawe naye Tatizo wataka kila mtu akwambiaLizzy you're very smart ...Poleee mamiii..Alafu wewe...mwangalie na vijishauri vyake vya kizushi hapa!
siku hizi waguna kama mimi lolMhhhhhhhhhhhhhhhhh
Yupps....na hivi unamwambia kila mtu nineanza kua na wasiwasi na Unyamwezi wako.Sasa hivi hata ukoniambia hutohangaika na pre nup nafikiria mara mbili mbili!!ha ivi ehh?nitaacha sasaupoo lakini,?wanyamwezi tunakuja huko,
Hata sitaki japo nimefurahi....ulichonifanyia juzi naomba nikwambie rasmi nikifa hata kitamba cha kichwanu sikuandikii!Nawe naye Tatizo wataka kila mtu akwambiaLizzy you're very smart ...Poleee mamiii..
Wasn't my fault ... wee ulivyokuwa Unakoroma .... sasa hivi waniletea hasira Zako.. kufa hufi mpaka nilipizie.. Baada ya masaa mawili ntakufundisha ....Hata sitaki japo nimefurahi....ulichonifanyia juzi naomba nikwambie rasmi nikifa hata kitamba cha kichwanu sikuandikii!
Yani huo muda unaodhani nlikua nakoroma nlikua nashikilia macho kwa mkono yasifunge...nwy tuache kuchakachua thread ya watu kabla mwenyewe hajarudi!Tegemea kufurahi wiki hii lakini....Wasn't my fault ... wee ulivyokuwa Unakoroma .... sasa hivi waniletea hasira Zako.. kufa hufi mpaka nilipizie.. Baada ya masaa mawili ntakufundisha ....
Afrodenzi unamaneno magumu!! mikama sijakuelewa vile,hizi sasa ni takeaways au takeaways from home??Daahhh
Pole sana mkuu
Kama ndio umeanza hizi sarakasi
Na mazingaubwe ya ku date kaza
mwendo kwani mchana bado kweupe..
Ukifikisha 5 hivi hapo sasa umesha kuwa konkody.. hutaingia gizani kirahisi..
Nachukua muda kumjua mtu kama
Unatafuta wa kuoa...
Mmmhhh siku nyingiine ukinunua takeaways
Usipeleke nyumbani .. kula barabarani au simamisha gari mahali...
Hujanielewa ni PM
Yupps....na hivi unamwambia kila mtu nineanza kua na wasiwasi na Unyamwezi wako.Sasa hivi hata ukoniambia hutohangaika na pre nup nafikiria mara mbili mbili!!
Gooosh...ninini hii tena?Wasn't my fault ... wee ulivyokuwa Unakoroma .... sasa hivi waniletea hasira Zako.. kufa hufi mpaka nilipizie.. Baada ya masaa mawili ntakufundisha ....
Saa si unaona sasa kumbeulikuwa unajifanyisha..Kwa nini nifurahi kwani u..mekamilishaIle ishu.. kama ulivyosema tusichakachueI mean tusiendelee.. nakuja baada ya masaa mawili..Yani huo muda unaodhani nlikua nakoroma nlikua nashikilia macho kwa mkono yasifunge...nwy tuache kuchakachua thread ya watu kabla mwenyewe hajarudi!Tegemea kufurahi wiki hii lakini....
Takeaways chakula mfano fast foodKFC, burger king, mc Donald, pizza etc ..Hiyo ni mifano tu sentence yangu ina maana nyingine ..Afrodenzi unamaneno magumu!! mikama sijakuelewa vile,hizi sasa ni takeaways au takeaways from home??
Matatizo ya kuwa na ndugu JF..Gooosh...ninini hii tena?
jamani wana jf habari,
mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja kubwa tuu na mshahara wangu mzuri tuu najimudu vyema. Wakati naanza kazi nikakutana na mdada mmoja ambaye alitokea kunipenda ghafla nikajikuta nimeshaingia kingi bila kujijua. Maskini ya mungu kumbe ni mke wa mtu na hakuwa na pete na mimi kwa ugeni wangu sikulijua hilo. When i realised that nilijuta sana na bahati nzuri jama hakujua, maana sijui ingekuwaje.
Huyo dada alivyogundua kuwa nimejua akawa analia lia tuuuu na kunibembeleza kuwa huko kwa mumewe hapati chochote jamaa hovyo. Akawa ananisifia kuwa endapo nitamwacha atajiua, hivyo tuwe wapenzi kisiri siri. Nikaamua kumuacha step by step, bila yeye kujua. Nikawa napunguza frequency za kukutana na yeye taratibu. Alivyoona vile akaenda akamchukua mfanyakazi mwenzangu pale ofisini akawa substitute yangu. Baadaye akaanza kuniponda tena na majungu kibao, mpaka sasa anaendelea kufanya hivyo huku akijua kuwa mimi najua hilo na anaona sawa.
Jamani dunia imekwisha, nimetafakari sana hivi ningefumaniwa na mumewe ningekuwa wapi sasa!!! Mtuoneee huruma jamani akina dada muwe na uzalendo muwe wawazi. Am tired and i dont trust a woman naona bora niishi kivyangu vyangu tuu.