am FREE FROM JAIL NIMERUDI TENA WADAU MIKONO NYUMA

am FREE FROM JAIL NIMERUDI TENA WADAU MIKONO NYUMA

kumbe hizo rep power ni kama date, change within a second
 
Last edited by a moderator:
Naweza ielewa zaidi hii explanation
rep resets to 0 during ban na inarudi kuwa ya kawaida ukitoka kifungoni. another way to have 0 rep ni kupost topic zisizo na tija.
 
Wengi wanasotea BAN!... Songoro, JOE 5, T2015 ccm, Masanilo na hivi juzi Mtz one katoka kutumikia adhabu!.. MODS wakali mno!...
 
Wengi wanasotea BAN!... Songoro, JOE 5, T2015 ccm, Masanilo na hivi juzi Mtz one katoka kutumikia adhabu!.. MODS wakali mno!...

dah acha kabisa mkuu niliukosa kabisa utam wa humu hususan mapambano dhidi ya chama changu
 
Back
Top Bottom