hupendi tulizo la moyo?
duh kumbe ulipata ban,pole sana
Ila hamna tatizo hizi ban siku hizi za masaaukiona hivyo anatafuta kurudi tension..
rep resets to 0 during ban na inarudi kuwa ya kawaida ukitoka kifungoni. another way to have 0 rep ni kupost topic zisizo na tija.Naweza ielewa zaidi hii explanation