BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Isipokamilika mpaka nafikia age fulani hivi najizalia mtoto wangu, napenda sana watoto TFUsipokamilisha kwenye huo muda uliojipangia???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isipokamilika mpaka nafikia age fulani hivi najizalia mtoto wangu, napenda sana watoto TFUsipokamilisha kwenye huo muda uliojipangia???
Mhhhh....Kaizer mbona unamtisha mwenzio hivyo bana???!!!!
Mzima lakini wewe?
Veve bint iko penda sana starehe?jungumuzo yako iko rivasi toa rivasi weka bele,watu miminia veve ile kitu.
Hahahaha hiyo lugha yako imeniacha hoi, nimecheka mpaka basi mwe!
Hahahaha umenikumbusha mbali my dear lol, hapo pa kubembeleza wangu hasa ilikua kwenye kula nadhani pauline angeona usumbufu wa huyu ndio asingezaa kabisa mwe! mpaka ameze kijiko kimoja cha uji umeshajiimbisha, unaamka unamchezea na hata ngoma nidio anacheka uji unaenda unaanza tena kingine mpaka uishe viungo vyote vinauma aisee, yaani huyu mtoto alinifanya nikae nyumbani muda mrefu maana hakuna ambae alikua anamuweza kwenye kula, ila ukishamaliza hizo kero unasahau kabisa kesho unaanza tena lol, Mwenyezi Mungu alitupa ujasiri wa ajabu sana sisi wamama.
Ngoja nijipigie makofi he! na wamama wote popote mlipo kwa kwa kwa! maana kulea si mchezo ati
mamamkwe upo?
nilikumis sana