Am I wrong if I process divorce?

Kwanza nikupe pole Sana kwa madhira unayopitia and 4sure "No dagger that hurt and pains like this".

Ushauri wangu: Fuata moyo wako unasema nini.
 
Mkuu,we are working on that
 
Ngoja ufe ndo utajua unatokaje, ninyi ndo yale makundi ya watu mnaamini kuteseka na kutaabika ni mipango ya Mungu, hata hivyo pamoja na elimu na maarifa mengi uliyonayo kuna kitu kimepungua kwako ni kwamba "WEWE HUJIPENDI" na hujawahi jikubali.
Taking it positively...thank you
 
Jamani mbona ndoa tamu hivii, nyie wengne mnakwama wapi?
Hahahahah vipi huenda ndoa yako ina zali la mtende 😅!

Wengine walioangukia machungwa na maembe mabichi wanaugulia tu 😀 what i believe ukiolewa kisha both of you mkawa positive na maisha bila mmoja kuwa na overthinking maana ndio huleta stress basi ndoa inakuwa raha tu!

Muhimu ni peace of mind kabla ya yote.
 
My dear sister, Nafahamu and for sure I can figure out exactly the situation you're in...

Naomba kukushauri yafuatayo;
Kwanza kwa maelezo yako huyo mume hajitambui, hana future na wewe na hawezi kukusaidia kufikia ndoto zako kama mwenza katika safari hii ya maisha ya duniani. Kama mlishakaa vikao na hakuna kinachoendelea nakushauri waweke wazi wazazi wako waelewe situation you're in na upate back up yao. Then file for divorce ili kuondokana na hiyo ndoa katika mazingira ya kisheria ili hata kesho na kesho kutwa ukitaka kuwa na mtu isije kukuletea matatizo wewe na huyo mwenza wako mpya.

Pili epuka kuanzisha mahusiano kipindi hiki ukiwa kwenye frastrations kwani ni rahisi kuangukia kwenye mikono isiyo salama kwa kwa sasa ni rahisi kufanya mamuzi kwa hisia zaidi kuliko proper reasoning na critical thinking...
 
mbona wanawake wa hivi wako wengi sana mkuu, au tuseme hujawahi kuona au kusikia hata mtaani unakoishi.

kuna wanaume ni wavulana kabisa kwenye ndoa zao,,,nikisema wavulana naamini unanielewa.
 
Uvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauri
Usiwe negative sanaaa...kama uliwahi kushauri watu and never picked your advise(usi generalize). We are different binadamu..
 
mbona wanawake wa hivi wako wengi sana mkuu, au tuseme hujawahi kuona au kusikia hata mtaani unakoishi.

kuna wanaume ni wavulana kabisa kwenye ndoa zao,,,nikisema wavulana naamini unanielewa.
Hahahahahah boyz 2 Men
 
Hatuwezi kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu, hatuwezi kamwe…. hapa unatafuta huruma tu na kumchafua mumeo.
Usikimbiliame kutoa hoja kwenye story ya pande moja.
Hivi angekuwa ni mwanamke ndiyo anafanya haya kwa mumewe mngeshauri hivi
 
Jje

Hayo matukio ni machache mno as a percentage ya wananchi milioni 60 nchini na ndoa zilizopo

Hiyo ndio hoja yangu kwamba statistics hazikubaliani na wewe
labda hao wachache na yeye yumo, hivi unajua kwa nini wanaume wanakufa zaidi ya wanawake? wanaume ni watunzaji siri sana hawawezi kushare matatizo hata na rafiki wa karibu,,, so wanakuwa overwhelmed na wanapata shida ya BP na moyo na wanaanza tu mbele bila kikwazo
 
Dah ni noma aisee mkuu, mie ndugu yangu ningemfata aisee nisingemuacha apigwege kiboya kwa sababu ambazo hazina msingi
 
Ondoka hataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…