Am I wrong if I process divorce?

My dear your need to be strong and move on. We live only once
 
Umeongea vizuri docta. Asipoelewa hapa sijui atamuelewa nani mwingine
 
🤣🤣🤣🤣 dada yangu aliniambia hivi pia ni mtu pekee anaejua hizi changamoto zangu. Lakini nimekataa kuvaa dira kazini. Nilikata nywele baada ya kipigo March lakini anatuma msg ambazo sizijibu kwa sasa..kwamba nimechukiza sana kunyoa bora nivae ma wig. Binafsi sipendi wigs..its either my own natural hair au ninyoe hivi na nimeridhika sana na nilivyonyoa baada ya dada yangu(msiri wangu) kuniambia nimependeza na yeye akakutana na rafiki yake mmoja aliniona ofisini akamwambia ' shem' amenyoa amependeza sanaa...ndio akaja na msg ya kuniambia ninachukiza sana na simvutii. Sijamjibu mpaka leo..anasema simheshimu..ukimya umekuwa amani kwangu maana naona ana play psychology
 
My Lovely sister Rosiela
I have nothing much to say abou the censorious circumstance that you're going through as a married woman, but consider my opinions for the better life in the future.

There are so many factors that contribute to a satisfying marriage or relationship as follows;

Commitment,Trust,time,attention,Good communication include listening, partnership, tolerance, patience, respect&sharing, generosity&consideration, ability to compromise and constructive.

I believe you use to be happy in the beginning but now you're suffering and intense heart bleeding. Just look at you child/children in a different because they need you more than anything else. If you could't make it work there you're then it may work somewhre else.

At the end I'd like to conclude this by saying LISTEN YOUR HEART

It's your lovely brother
Mokobe
 
Umeona mzee, yaani ni weakness gani hizo...huku ni kujifagilia wazi kabisa. Ateje toxic weaknesses tumpime kama jamaa ni mbuzi au yupo sahihi kudunda mtu kama ng'ombe (japo sio sawa kudunda mwenzako)
Duh..unataka weakness gani. Na kujifagilia wapi? Kwani humu kuna biashara gani? All in all nina hasira pia lakini ninaweza kuji control. Kiukweli sijui zingine..muda mwingi nime focus na kazi na familia basi. Kaka mimi mpaka anagawa nguo zangu kwa ndugu zake..anaacha maronyaronya..nilichoandika ni pinch tu of what i am going through.
 
mkuu bhana you keep on building the peace of mind every minutes

usitufokeeee/tutishie hahahahahhahaha
 
Huyu nae kamsimanga mumewe anavumilia mpaka anahatarisha uhai doh....pesa hubadili watu!
 
Sweetheart.
Hii dunia hamna ambayo hana madhaifu.
Hakudai yeyote ukamilifu.

Huna haja kabiiiisa ya kusema hizi ni weakness zako.
Hizi si weakness mama,
Weakness zipo na We all have them.

-Mi sipendi kufua na sifui, naita mtu afue.
-Nna kisirani, cha kutosha tu.
-Nikiamua kuzichapa tunazipanga.
-Sikubali majibu marahisi kwenye situation ngumu na ntakubishia ukiona.
-Nikiona kitu sielewi ninahoji na nitahoji.
Na mengine tu mengi,

Sasa all of them here huyu ndiye mimi.
Sasa wewe huna sababu ya kuwa a saint kutakiwa kupendwa na kuhurumiwa.
Mi na ununda wangu huu kuna watu hawalali wananiota.
So own yourself.
 
Hizi weakness zimekaa kama za kwenye CV zile 😅😅😅 unajifagilia kwa mlango wa nyuma
Aisee JF🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️😄😄 imebidi nicheke,nina hasira sana sababu ninapitia chuki mara nyingi..lakini naweza kuji control. Sio mtu wa ma vacation,mitoko ni mpaka nimuombe tuende wote.
 
Huyu nae kamsimanga mumewe anavumilia mpaka anahatarisha uhai doh....pesa hubadili watu!
Lazma tu dig tujue waliishije before jamaa hajamake it in life! Was there enough respect au element za kunyanyasana kihisia.
 
Ujage humu tena umefanya la maana sana mrembo mie ndio mr.bean wa jf 😅 ntakupa madini mengi tu ya kimaisha hizo changamoto ndogo sana usihofu bana!
 
Weeeeeeeeeeeh.

Be a human being.
Acha kuwa passive kwenye mambo ya msingi.
Acha kujiamimisha mambo yote haya bado hujabadilika.

Fuuuuck being a saint.
You aren't one.
Na hutakuwa.
Mungu ameshamaliza kuteua watakatifu.

Amebaki na siku moja tu ya hukumu.
Sasa unafkr usipomuacha Huyu ndo utaenda mbinguni?
Tutakutana tu motoni na dhambi yako ya kinyongo na mi na dhambi yangu ya uzinzi.

Ohoooo!!
 
Siutafuti u saint dear..mimi kufua napenda na napenda hekaheka za nyumbani. Yani napenda kujishughulisha hata kazini. Sipendi kuwa idle..nima hasira hio ni weekeness yangu kubwa na kuhisi naonewa..naona kama dunia nzima inajua shida zangu sasa nikionewa huwa na hasira but ndani ya muda mfupi narudi kawaida.
 
Sounds like you’ve been watching too much of Kevin Samuels 🤣🤣
 
Watu mliopenda kiasi cha mtoa mada huwa hamshauriki yaani mpaka likupate ama ulemavu au akupige tukio moja nzuri nina mfano wa best yangu kwa sasa ni chong’o kwa kipigo ilikuwa ukimshauri anaenda kumueleza mumewe unashangaa ghafla una chukiwa.
Hahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…