Am I wrong if I process divorce?

Run. ..run run...
Divorce or no divorce just run and run..

Why miaka yote unevumilia?

Mlikutana wapi kwanza??

So sad...just run na asijue unaishi wapi..

Ofisin waambie wakimuona wajue mmeshaachana agiza walinzi wampe kipigo cha kutosha..
Dooh!!
 
Bahati mbaya umetoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja.....
Ad Allterum Pattern.....
hear the other side.......
 
8yrs...?
Hii iingizwe kwenye kitabu cha rekodi za dunia, mnalala kitanda kimoja? Au amekuwa hadin..di ?

Kama huna mcheps na wewe nakuinguza kwenye kitabu cha rekodi za dunia, Ila 99% unajimegea pembeni kimya kimya which is okay IMO.

Pole sana, hakuna mapenzi...hakuna mawasiliano..hakuna maendeleo!!!
 
Tafuta hela mautelezi kibwena[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Nimejikuta tu nashangaa, unaweza ukaona wewe unapitia changamoto ila ukisoma visa vya ndoa zingine unaona kama ya kwako ni mteremko kabisa

Pole sana, Mungu akupe Amani ya moyo na ujasiri wa kuhimili
 
Ila huyo ni kichwa ngumu, he did it on purpose, yaani yeye anapenda tu kukutia frustrations, you better ignore him like he does not exist
 
Upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na sio MATESO, anaekupenda kwa dhati hakutesi..
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
I am not sure na cha kushauri,

Maana uko educated lakini elimu haikusaidii,

Tunaposema tuwawezeshe wanawake ili wajiweze, tunamaanisha kuepukana na vtu kama hivi. Unajiweza why going through the shit anymore. au una Stockholm syndrome?!
Stockholm syndrome huwasumbua wengi.
 
Hii inawezekana kuwa kweli[emoji848][emoji848]
 

Kanisa wala waumini wenzako hawaishi na hawajui maumivu yako.

Kama haya yote ni ya kweli, nakushauri ujiondokee. Maranyingi nawashauri watu wasikimbilie kuvunja ndoa lakini kwako naona ndiyo njia sahihi.

Mtu huyo hakuthamini hata kidogo. Ila pia usikimbilie kumpa huyo rafiki yako moyo wako. Kwa sasa hali yako ya upweke na kutokuonyeshwa mapenzi yanakufanya uhisi kumpenda huyo kwasababu anakusikiliza na kukupa attention.

Siyo jambo la busara kwa sasa. Jipe muda, upone angalau baada ya kutafakari na kufanya maamuzi kwa utulivu utajua cha kufanya. Inawezekana huyo baharia kaona unachopitia akaitumia kama fursa kukuvua chupi kiulaini. Wewe ni target nyepesi sana kwa sasa.

Kama unaweza, kapange kwako, huyo mumeo asipajue na ujiondokee kimya kimya. Maisha ni mafupi sana hatutakiwi kuvumilia ujinga kwa wasiotuthamini.
 
May the God i worship just forgive you kaka..nitunge kwa faida ya nani? Am i getting paid publishing this. Kuna muda faraja na sincere advise is what we need..kusikilizwa tu kwanza
I'm not kaka my dear I was replying someone's quote so don't be bitter to people who can comment different things than what you wish, it's just a matter of seeing issues from different angle, I pray you solve ur problem and move on with life full of enjoyment
 
Nguvu za kiume zinaisha kwa sabb gani sasa uzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…