Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Mkuu

Wanawake ni waongo sana,ada hajalipa popote,nyumba hajajenga popote wala chakula hajalisha popote

Wanawake wanapenda ku-exxagrate sana their strenghts ili kumshusha huyo mwanaume

Siku mwanamke analeta nyama nyumba ndo inakakariwa yeye ndio analisha nyumba siku zote

Sipo hapa kumteta huyo jamaa au kufurahia tatizo la huyu dada,hapana,huenda ni kweli ila maelezo ya wanawake hua nachanganyaga na akili zangu mwenyewe sichukui kama msahafu
Haaahaaa haaahaaa

Hajalisha popote[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Ila umeongea ukweli mchungu, wanawake wanaexagerate mambo sana..
 
Aisee hii issue ya ndoa ni muda sasa wanawake tuelewe ni stage tu sio achievement
My dear naona wewe umeing’ang’ania hio stage Kama vile ni kila kitu
It’s time utoke hapo uanze ku experience maisha mapya
Am glad you’re a God fearing woman wala usiache kumuomba Mungu ukiona kama amekuacha
Badili tu aina ya maombi
 
Usiwe negative sanaaa...kama uliwahi kushauri watu and never picked your advise(usi generalize). We are different binadamu..
Punguza ukali...maliza moja kwanza, maana ni zito balaa[emoji848]
 
Siku zote ushauri utabaki kuwa ushauri... but ukisoma alichoandika mkuu mwenye mada utagundua she real needs help na kuwa hana hasira kwenye maandishi yake.
Huyu dada ni mke bora kabisa (in my perspective) lakini jamaa anamlet down.
Mke bora kuchukua majukumu ya mume ndani? Tumeona ya mmoja hatujui upande wa pili......kuhudumia familia isiwe kigezo cha kumhurumia pengine kuna mahali akirekebisha watakaa poa sana
 
Move on dear ,tatizo hapo kila kitu umevumilia kwa kuhofia watu watasema nini juu yako .kikubwa unaweza hata Kurent kwa kujibana huku unajenga taratibu( as you said kwamba you take care of all the house bill ) so kurent a house unaweza na maisha mengine yakaendelea kuliko kuishi na huyo deadbeat husband asiyejua thamani yako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo namba mbili hapo...huenda una "look good" mno unakua sexy au sexual mwamba anakua threatened ndio maana anageuka kichaa namna hii?

Unaweza uka tone down kidogo aisee na hiyo "looking good" maana jamaa ana moyo mdogo

Looking good jumlisha na hilo tako,jamaa ana-loose the whole shit....na yule number 8 alishamfuma kwenye simu I guess...

Mwanaume hua anakua kichaa akisha-loose control of his woman sexually to another man whether huyo mwanaume ni real au imaginary

Vaa dira aisee....trust me utaokoa hiyo ndoa...au jipunguze matako yaishe...hahahaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asee leo umeamkaa poa

"Jipunguze matakooo"
 
Ushauri wangu uta-base katika assumption MOJA, kwamba haya YOTE uliyoandika ni ukweli mtupu, huja-exagregate. Kama umeweka na chumvi na pilipili, basi huu ushauri unaweza usikufae sana; Kwa hiyo kama kawaida ya ushauri, uchanganye na za kwako.
1.Huyo mwanaume HAJAWAHI kukupenda kamwe.
2.Huyo mwanaume anakuona ni bonge moja la ZOBA, zumbukuku mzungu wa reli usiyeweza kuishi bila yeye.
3.Kama bado hujapata magonjwa ya ngono na/au UKIMWI, ni suala la muda tu kama ukiendelea kubaki hapo.
4.Tatizo halipo kwake, tatizo lipo KWAKO (yeah, read that again.)
5.Hao watoto ni wa kwako peke yako au ni wa kwako na wa kwake? (Read that between the lines, its a rhetorical question).
6.Divorce is not your priority for now (trust me, your life is more important, and you do not need a divorce to save your life)
7.Huyo comforter, trend very carefully. Wanaume huwa tunaweza ku-smell a woman who is not taken care well and use that just to "tap that ass".
8.Kuna waliosema wanabaki kwenye ndoa kwa ajili ya watoto, wakaishia kufa kwa UKIMWI na kuwaacha hao watoto (I know two of such), think critically on your decisions about that.
9.Hata ujinga una mwisho wake.
Rosiela
Case closed maninnnr[emoji122][emoji122]
 
Songela wansegamila Dr.
Will screenshot this and read it daily before and after catching a sleep. Thank you
.....sasa mume wako ni business man na kama tunavyojua wafanya biashara huwa hawajasoma, hivi viinglish vyako ndivo vinamfanya akuzibue mikofi, ili akushushe confidence [emoji848]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dada yangu aliniambia hivi pia ni mtu pekee anaejua hizi changamoto zangu. Lakini nimekataa kuvaa dira kazini. Nilikata nywele baada ya kipigo March lakini anatuma msg ambazo sizijibu kwa sasa..kwamba nimechukiza sana kunyoa bora nivae ma wig. Binafsi sipendi wigs..its either my own natural hair au ninyoe hivi na nimeridhika sana na nilivyonyoa baada ya dada yangu(msiri wangu) kuniambia nimependeza na yeye akakutana na rafiki yake mmoja aliniona ofisini akamwambia ' shem' amenyoa amependeza sanaa...ndio akaja na msg ya kuniambia ninachukiza sana na simvutii. Sijamjibu mpaka leo..anasema simheshimu..ukimya umekuwa amani kwangu maana naona ana play psychology
Huu mwandiko mbona kama naujua?[emoji848]
 
Hapa wamekutana pair tofauti kabisa huyu mume ni gangstar love huyu mwingine ana true love . Malezi ya kijana atakuwa kalelewa na baba tu sasa kijana kakopi uhuni wa baba kamwe hawezi kushow love .
Very true mkuu,mambo mengi yanatuathiri sana and the issue tena big issue ni psychology akitueleza makuzi ya uyo jamaa utaelewa source ya hivyo tabia, kama sio kalelewa na single parent kalelewa na bibi au amekulia kwa ndugu,usikurupuke kumuacha malezi ndio shida ya mumeo ,pambana kumchomoa huko aliko you will enjoy kuliko hiyo divorce
 
Kuna mambo mengi humu uwi[emoji1][emoji1] na assumptions nyingi achilia kunangwa. Thanks Mr.Bean
Ooooh be very careful na mzee wa "utelezi sio Mr Bean wala nini[emoji849][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom