Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Miaka nenda rudi ipi?... huyo atauliwa nakwambia either kwa kipigo neither AIDS
Either….. or…..
Neither….. nor…..[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka nenda rudi ipi?... huyo atauliwa nakwambia either kwa kipigo neither AIDS
[emoji16][emoji16][emoji16]Endelea kupigwa mpaka sura iwe kama ya nyani ndiyo utajitambua.
Endelea kupigwa mpaka sura iwe kama ya nyani ndiyo utajitambua.
[emoji16][emoji16]Ni kweli.
Ndo nimejiambia tu hapo niache kukuquote.
Ni kiherehere changu na kimbelembele.
Mwenyewe tu unajiandikia kwa Amani mawazo yako mi niko busy kukuquote.
Miii naaaaami, uliniita?
Mxxxxxxxxxxie zangu.
🤣🤣🤣Either….. or…..
Neither….. nor…..[emoji41]
Uvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji22]Kwa kuwa wewe ni mwanamke mwenye makalio makubwa kwa vyovyote vile akili hakuna kabisa.....huna uwezo wa kujiongeza kwa hiyo endelea kupata kipigo mpaka ukae sawa au ukafukiwe futi sita chini
Bro samahani , ni kweli umelia kwa uchungu? [emoji1787][emoji3]Damn lady, unanikumbusha nyimbo ya “Ashanti rain on me” na movie flani ya MYA inaitwa “Love for sale” alikuwa na mchizi bully in the same situation as yours! That nigga was overly jealous [emoji28][emoji28][emoji28] kiasi kwamba alikuwa anam suffocate demu wake yani...finally real man alijibebea mzigo kilaini!
I hate to see such innocent kind of Lady crying adi nimelia hapa kwa uchungu [emoji37] but you got to hold yourself tight and beat the hell out!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Jamani...
Maisha mabaya yapo pote pote tu,ni afadhali ubaki kwenye ndoa upate shida za humo
Nje hakuna cha maana,utapeli ni mwingi mno,na huyo number 8 hapo atajitombea kupita maelezo ila kuoa mazima sahau...
Formula ni fupi tu,kamshindwa A,how on earth hatanishindwa B maana A=B tu!
Mwache apate shida humo humo ndani atajua jinsi ya kuji-adjust humo humo...pia huyo kaka hatujamsikiliza....wanawake si wa kuamini sana ujue!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hahahahaaa
Wanawake bana..psychology yenu ni ya kushangaza
Emotionally hampo independent,mnapenda mtu awape caring kidogo tu ya emotions zenu then hata kama umeolewa na alietoa hiyo caring ni kichaa utampa matundu yote
Mwanangu hapo angekua karibu akaweka na uchawi kidogo tundu hili hapa..
Just kidding bana dont come all guns out blazing on me
Yes ni kweliHawezi kuondoka kwa ushauri, ipo siku atapigwa tukio ataondoka mwenyewe bila kuaga mtu [emoji23]. Nna rafiki yangu nae alikua kwenye toxic marriage, tulishauri weeeeee atoke lakini wapi bwana. Kuna siku moja aliondoka mwenyewe bila kushauriwa na mtu. Huyu bibie siku yakimfika ‘hapa’ ataondoka bila kuaga
Status gani hiyo jamaniWanawake tunaponzwa sana na ku maintain status, yani mateso yote hayo bado una contemplate kuondoka?
Huyo alieoa shoga nae ana moyo aiseee[emoji53][emoji53]Dea mie tayari, na nna pete kidoleni. Napambana na maisha yaa ndoa mie.
Mume alimwambia amle tigo?jaman wale waliochomwa kama mkaa ni wanawake? wanaopigwa risasi je? mimi naona tu ikishindikana bora mtu usepe bila matatizo kuwa makubwa na vilema juu maana ukiwa kilema utaachwa hapo na ataoa mwingine tu na mateso yatakuwa makali zaidi.
mfano mzuri ni yule bi dada aliyekubali 0713 kwa ajili ya kutunza penzi lakini mwisho wa siku alivyoaanza kujiharishia bila break aliachwa hapo.
Nasisitiza, ndoa sio sehemu ya kuvumilia mateso bali sehemu ya kufurahia maisha
Status gani hiyo jamani
Atauliwa huyo[emoji848]Najiulizaga hawa mademu wanaume kama sisi hawatuonagi au [emoji28] mpaka ukawe na bandidu wa hatari! Hii inakamilisha ule usemi wa kuwa wanawake wanapenda penye misukosuko kuliko peace of mind na hapo hataondoka mtamshauri ila ndo kwanza jioni anajipikisha kahawa anampa Tyson wake [emoji28][emoji28][emoji28]
Unatafuta fursadada uliyeandika hii thread kama hutojali, njoo inbox. nahisi tunafahamina....nahisi ni wewe....yes ni wewe....kwa maelezo zaidi njoo inbox.
mengi tutayajadili nje ya jf.....ni kwa nia njema tu sio kwa ubaya.
Mwenyewe nimeshangaa[emoji16][emoji16][emoji849]Sijawahi ona una comment kwa furaha hivi mkuu leo itakua siku yako nzuri sana.
Akili za wanawake wanazijua wanawake wenyewe[emoji848]Huyo dem nae chizi kweli sasa ukimpa tigo mwamba ndio hakuachi?
Kumbe we ni ME[emoji849][emoji849][emoji849]Naam! Ni kweli nimeadimika si nilikutonya nataka kuoa hivi karibuni .
Aisee sasa inabidi nifungue uzi kwa ajili ya michango maana humu vigogo wengi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app