Am I wrong if I process divorce?

Huo ndio umri baadhi ya ke wanakuwa Wana matamanio ya kufanywa mara kwa mara
 
Umenena vyema muhenga. Hii kitu usipopata mtu sahihi hutagundua utamu wake. Na kama ulivyosema Kuna watu hawapendi kujaribu mautundu mbalimbali ambayo huleta hamasa zaidi na kuvumbua utamu zaidi.
 
Jiulize kwann umeolewa?
Faida gani unayoipata kwenye hio ndoa yako?
Madhara gani unayoyapata kutokana na ndoa yako?
Nin hatima ya wanaokudhunguka(watoto wako) kulingana na maisha ya ndoa yako?
Nini hatima yako kwenye hio ndoa?


Usifungwe na kanisa kwa kuendelea kuteseka huku unaona kabsa haupo sehem salama
 
Are you sure you are not the reason for his drinking? Kama siyo why then stay with him, he'll kill you kama yuko stressed na wewe.
 
@BAK kama BAK katika ubora wako [emoji38][emoji38]
 
Reactions: BAK
Pole Sana ndugu mleta mada.
Mimi sio muumini wa kuvunja mahusiano au ndoa kwa namna yoyote ile, lakini kwa hili la kwako tafuta tu namna ya kuondoka dada yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema muhenga. Hii kitu usipopata mtu sahihi hutagundua utamu wake. Na kama ulivyosema Kuna watu hawapendi kujaribu mautundu mbalimbali ambayo huleta hamasa zaidi na kuvumbua utamu zaidi.
Kut...omba / Kut.ombwa (kuto.mbana) ni Sanaa "art" kama sanaa nyinginezo na inahitaji kujituma.

Kuna show huwa nimezibatiza jina naziita "show za msimu" hizi sio za kila siku, zina wakati wake maalumu inaweza kuwa kwa wiki au kwa mwezi mara moja lakini mtifuano wake unakuwa ni wa namna yake ya pekee kiasi ambacho lazima mkimaliza baada ya hapo kila ukikumbuka matukio yalivyokuwa yakiendelea lazima ucheke au utabasamu [emoji1]

Ushaona-ga ile mnapigana miti weeeee mmechoka kila mmoja lakini bado unatamani ungegain nguvu muendelee kutiana!? kwasababu ya ile Raha, burudani, starehe, huba, penzi lililokolea, kila mmoja kaguswa kagusika. Utasikia "mmmh! mwanaume unajua kut.omba weeeeeew!
 
Hebu usinisahaulishe mada, nilidhani lile jukwaa limerudi 😆😆😆
 
Huwa hatari wanakuwa so manipulative aisee wanaku torture psychologically, hata uwe mwema vipi ni mwendo wa kukutesa kihisia to me I consider them evil Bora kila mtu ashike njia zake
hakika, hatuna sababu ya kujitesa kuna mkuu huku aliniambia tutafute hela zetu tutakuwa huru,,,tunaogopa sana kwa sababu ya security ya maisha yetu tutaishije,,kwani kabla yao tulikuwa hatuishi? cha msingi tupendane bhana
 
Nazidi kushangaa aina ya maisha baadhi ya wanawake waliyoyachagua.... Ambapo wanateseka Kila inapoiwa Leo. Hivi tuliumbwa kuteseka kiasi hiki hata pale ambapo unaweza kuamua vinginevyo??
 
Utapata hela halafu utakuja kugundua wala sio chanzo cha uhuru unafikiria...
i know but labda sijaliweka vzr, namaanisha hii hali ya mateso yanayozidi na bado some of women wanavumilia mara nyingi inakuwa ni insecurity,,, that is the fact ila kiukweli pesa sio chanzo cha uhuru bali aman ndo kila kitu,,, I know what I am talking about
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…