MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
Nakubaliana na wewe kuwa kuna baadhi ya maamuzi unapima faida zake na hasara kuliko vipigo na manyanyasho na kuzarauliwa ni afadhali kuwa single mwenye furaha.Yani honestly I don't expect someone to give me happiness,my happyness ni internal zaidi kuliko extrnal so why kuvumilia mtu asiyeniheshimu na anaye breach our agreement, na Raha najipa mwenyewe ziko other means nyingi Mimi mtu anayenikera huwa hamu naye Sina kabisa Bora nitafte other means kabisa au nisifamye kabisa Hadi kufa wallah. Na principle Kali Sana Yani loh