cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Dalili ya mvua ni mawinguSawa. Mwenzetu Mungu atamjalia atapata mwingine ila hapo hapana dalili sio nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalili ya mvua ni mawinguSawa. Mwenzetu Mungu atamjalia atapata mwingine ila hapo hapana dalili sio nzuri.
Shida yenu tobo mnapenda masharobaro na masharubatwa badala ya great thinkers na macritical shababi kweli ndio mkome sasaNazidi kushangaa aina ya maisha baadhi ya wanawake waliyoyachagua.... Ambapo wanateseka Kila inapoiwa Leo. Hivi tuliumbwa kuteseka kiasi hiki hata pale ambapo unaweza kuamua vinginevyo??
Hakika.... Tunaendelea kujifunza na kuwa wanyenyekevu kwa waume zetu watupendao na watudekezao 😀😂😀Shida yenu tobo mnapenda masharobaro na masharubatwa badala ya great thinkers na macritical shababi kweli ndio mkome sasa
Very Sad .... Nimesikitika Sana. Nampa pole sana huyu Dada. Akae chini, aamue ni kitu gani hasa anataka kwenye maisha yake. Jamii anayoigopa.... Sidhani Kama ina cha kumsaidia Sana. Yeye anatakiwa ajisaidie ... Maumivu anayapata yeye... Na sio Jamii anayoifikiria ....Unavumilia kulazwa hospitalini kwa kipigo cha mume kila baada ya miezi kadhaa. Hadi siku ambayo you will be beaten to death.
Ili uvikwe taji la "mke mwema" na misogynistic Tanzanians ukiwa kaburini.
What a shame..!!
Sana,ila km ulivyosema,huyo hapo hatoki hata tushauri vpDada anahitaji msaada
Sana,ila km ulivyosema,huyo hapo hatoki hata tushauri nnDada anahitaji msaada
Thank you🤬 🤬
Huyu hata maombi yatabuma!
Anahitaji kujitambua kwanza na kujitoa katika hayo mateso! Hakuna wa kumsaidia!!
True thatBidada fanya uondoke mapema sana, Rudisha mpira kwa kipa na ujipe muda wa kutafakari.. Njia rahisi ya kuondoka aga unaenda kwenu then mengine yaendelee...
Jipe muda wa kutosha wa kutafakari hayo na achana na huyo Bazazi anayekuunyemelea hapo. Weka mipango yako na anza kuitekeleza taratibu.
Tunaishi ili tufurahi then tufe,,, hakikisha unaishi maisha ya furaha kadri unavoweza.
Thank me later.
Usinikatie tamaa..nilitaka kujiridhisha kwa ushauri mbalimbali nduguSana,ila km ulivyosema,huyo hapo hatoki hata tushauri nn
Pole ndugu,cjakukatia tamaa Bali nakusikitikia,hukutakiwa kuwepo hapo wkt unauleta Uzi,ila all in all nakuombea Mungu akuvushe salama kabla hujapata madhara zaidi,Usinikatie tamaa..nilitaka kujiridhisha kwa ushauri mbalimbali ndugu
Nimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??Pole ndugu,cjakukatia tamaa Bali nakusikitikia,hukutakiwa kuwepo hapo wkt unauleta Uzi,ila all in all nakuombea Mungu akuvushe salama kabla hujapata madhara zaidi,
🤣🤣"other means"...nyie wanawake ni evils aiseee
Usirudi misri aisee,na huko anaku report utawaambia mtoto unayeNimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??
Yani Mimi sipendi kero jamani za mtu mzima mwenzangu hata hamu sitakuwa nayo heri ya dildo tu, na upweke sipati na tune my mindsets na kufanya a lot of activities za kijamii na mazoezi ndo furaha yangu.Cariha umepinda aiseee
Hivi dildo zina human emotions kweli kukusaidia lolote?
At the end of the day,kibaya ni upweke my friend....
Upweke ni tatizo kubwa,utapata depression then unaoata kichaa then unakufa...
Thats dangerous my friend kuliko kupigana makonzi na jamaa yako mara mbili tatu kwa mwaka!
Dan,maskini,....kumbe tulikua tunadhani huwezi ondoka,Demi njoo usikie huku,tena huyo kenge asikutishe,apeleke kende zake polisi zikaripoti.hata sisi ni wanaume wa shoka na hatujawahi kutesa KE kiasi hicho,sisi sanasana huwa tunachepuka tu lkn tukirudi ndani tunawaheshimu sana wake.hongera sana Rosiela ,na pole kwa yote,Mungu atakupigania,usirudi nyumaNimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??
Dah aisee...kafanya jambo jema na Mungu amtangulie.Dan,maskini,....kumbe tulikua tunadhani huwezi ondoka,Demi njoo usikie huku,tena huyo kenge asikutishe,apeleke kende zake polisi zikaripoti.hata sisi ni wanaume wa shoka na hatujawahi kutesa KE kiasi hicho,sisi sanasana huwa tunachepuka tu lkn tukirudi ndani tunawaheshimu sana wake.hongera sana Rosiela ,na pole kwa yote,Mungu atakupigania,usirudi nyuma
Pole ndugu,cjakukatia tamaa Bali nakusikitikia,hukutakiwa kuwepo hapo wkt unauleta Uzi,ila all in all nakuombea Mungu akuvushe salama kabla hujapata madhara zaidi,
Hongera kwa maamuzi magumu Rosiela . Mtoto ana umri gani? Usiogope kila kitu kitaenda sawa...atahangaika Hadi mahakamani usiogope...sheria zipo wazi Kama ni mtoto mdogo utaendelea kuwa nae...ila hapo baadae mkitulia usiache kumpa mtoto haki ya kumuona baba yake. Haijalishi baba yupoje huyo ni baba yake tu...Nimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??
Nimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??
Usirudi misri aisee,na huko anaku report utawaambia mtoto unaye