mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Si mumeo, why asikupangie?!Kaka mito acha kyzingua bana mtu akupangie had mavazi kisa kujiamini then asiwe responsible kwa familia kisa uzuri na appearance ya mkewe huyo jamaa tu ni mgonjwa usimtetee.
Jifunzeni kuwajua waume zenu wanapenda nini na hawaki nini, mtaona mahusiano yenu yanavonawiri.