Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Yani honestly I don't expect someone to give me happiness,my happyness ni internal zaidi kuliko extrnal so why kuvumilia mtu asiyeniheshimu na anaye breach our agreement, na Raha najipa mwenyewe ziko other means nyingi Mimi mtu anayenikera huwa hamu naye Sina kabisa Bora nitafte other means kabisa au nisifamye kabisa Hadi kufa wallah. Na principle Kali Sana Yani loh
Nakubaliana na wewe kuwa kuna baadhi ya maamuzi unapima faida zake na hasara kuliko vipigo na manyanyasho na kuzarauliwa ni afadhali kuwa single mwenye furaha.
 
yanatakiwa yafike mangapi mkuu,?? linaanza moja kuja kushtuka ushakua mlemavu au addicted na vipigo,, naweka mpaka mapema ajue there is No next time
so unampeleka mtu police kabisa
 
Hujawahi chapwa na wazazi?Like,ever?.....BIG LIE

Hujawahi kua na conflict na siblings?Like,ever?....BIG LIE

In school,hujawahi pigana au gombana na mwanafunzi mwenzako mpaka mkapigana?Like,ever?.....BIG LIE

Katika maisha yako hujapitia conflicts zozote ya mpaka kupigana kabisa?Like,ever?....BIG LIE

Baba yako na Mama yako hawajawahi gombana?Like,ever?....BIG LIE

Stop this nonsense nigga,aint nobody a kid in here!Kill that lying noise!
Hujawahi chapwa na wazazi?Like,ever?.....BIG LIE
Sijawahi kuchapwa na wazazi ever, take it or leave it.
Hujawahi kua na conflict na siblings?Like,ever?....BIG LIE
Conflicts na siblings nimekua nazo sanaaa.... Ila haijawahi kufikia kiasi cha kupigana hadi kuzimia au mmojawapo kulazwa.
In school,hujawahi pigana au gombana na mwanafunzi mwenzako mpaka mkapigana?Like,ever?.....BIG LIE
In primary school nimewahi kupigana mara kadhaa as well.
Katika maisha yako hujapitia conflicts zozote ya mpaka kupigana kabisa?Like,ever?....BIG LIE
Last time nimepigana was primary school; conflicts kila siku zinatokea na watu mbalimbali kupishana maneno na kurushiana maneno.
Baba yako na Mama yako hawajawahi gombana?Like,ever?....BIG LIE
Wazazi wangu hawajawahi KUPIGANA MBELE YANGU, since nakua hadi nimetoka nyumbani..!!

So, all these rhetorics in efforts to justify mtu mzima kumpiga mwenzake hadi kuzimia repeatedly...?
U ve got some muscles kiddo!!
 
Security kwa mwanamke ni kila kitu, pia kinachotesa watu wengi wanaogopa jamii watachekwa kuachana, matokeo Wana vumilia mateso Hadi wanapata maradhi
si afadhali maradhi..... kuna kifo na jela bibie
 
Kumbe u are working on assumptions:
Sijawahi kuchapwa na mzazi au mwalimu wakati wote wa malezi yangu na elimu, pia sijawahi kuona baba yangu na mama yangu wanapigana nakoz throughout malezi yangu hadi naondoka nyumbani.
Vitu vingine uliza kwanza before you jump to conclusions.
Binafsi sijawahi shuhudia wazazi wakigombana wala kupigana, hata ile kuhisi kuwa hawako sawa sijawahi. Nadhani walijua jinsi ya kuficha ili watoto tusijue.
Na mama yetu anashuhudia kuwa hajawahi kupigwa na baba hata kibao.
Watu wanahisi jinsi wazazi wao walivyo ndo wote wapo hivyo, na ndio maana wanaume wengi wanaona kupiga mke ni Jambo la kawaida.
 
Msumeno wenu inabidi ukate kote, Huyo mzee anaetoka na vitoto hujamuona kwenye hiyo heshima yako? miaka 8 mume hamgusi means kamfanya ajione takataka kuwa kazeeka, na hamvutii Tena hujajiuliza hata kisaikolojia kaathirika vipi?? Mtu anakususa miaka 8 kawa mzoga? Acha akapate Raha kiakili itamsaidia kuliko kuvumilia hiyo jehanam eti apate heshima, mi kwakweli sitafuti utakatifu duniani mwanaume akinifanyia hivi pasipo sababu za msingi hakutalalika
Oky ngoja atafute wa kumsugua vizuri, Akili ikae sawa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Naona unataka kutudanganya pahala hapa...

Wewe ulipokua 18,ulikua unachapwa na baba yako at will na unalia kama mtoto

Ulipokua 18 and above ulikua unagombana na siblings wako nyumbani na mnapigana mpaka mwenye nguvu anamshinda mwenzake na mnavunja vitu nyumbani,etc

Hivyo ndio tabia ya wanyama na binadamu ni mmojawapo

Ila huko kooote hukuongea lolote,leo inatokea hii maana ni wanadamu walewale eti unajifanya eti ni strange wakati ndio tabia original za wanadamu.

Leo mtu anakupiga mpaka unalazwa hospitali sababu umejifanya kushindana nguvu na mwenye nguvu..unge-lay down isingetokea

Formula ni kwamba mwenye nguvu anampiga asie na nguvu baada ya asie na nguvu kumchokoza mwenye nguvu..Kipigo kitakua kikubwa zaidi au for a longer duration iwapo asie na nguvu ataleta upinzani zaidi...

Ukipigwa kofi na mwenye nguvu nyamaza yaishe..usimletee upinzani eti na wewe unajifanya unajua mabavu...

Hiki ndio wanawake wa siku hizi hawakijui,hii ndio psychology of conflicts between men
Thanks mkuu, umeweka uhalisia wa Maisha, Hao wengine wanatafuta fursa ya kuonekana Nice men humu.

Yaani nikuzidi nguvu halafu unaniletea kiburi cha "kwani nini... kwani nini" eti nakuangalia tu!

ooh mara "baba hajawahi nipiga" sasa huyo ni baba sio mimi.
 
Nakuelewa,you are like me,kwamba everything i enjoy comes within myself...

Ni sawa

Ila hizo "other means" ndio pamoja na dildo nini?Hahahaaaa
Bora hata dildos au kukonolewa tu kuliko kuumia umia kisa mtu, hapana kwa kweli, jukumu la furaha yangu ni Mimi Wala sio watu wa nje au yoyote
 
Nakubaliana na wewe kuwa kuna baadhi ya maamuzi unapima faida zake na hasara kuliko vipigo na manyanyasho na kuzarauliwa ni afadhali kuwa single mwenye furaha.
Mchawi huwa hela tu
 
Ndoa ni kukaa pamoja na kutatua matatizo ambayo msingekuwa nayo kama msingeoana...Uamuzi ni mmoja tu hapa,ama kumpenda mwenzi wako kama alivyo ama usubiri akuue kisha tukupe ushauri.
 
Bidada fanya uondoke mapema sana, Rudisha mpira kwa kipa na ujipe muda wa kutafakari.. Njia rahisi ya kuondoka aga unaenda kwenu then mengine yaendelee...

Jipe muda wa kutosha wa kutafakari hayo na achana na huyo Bazazi anayekuunyemelea hapo. Weka mipango yako na anza kuitekeleza taratibu.

Tunaishi ili tufurahi then tufe,,, hakikisha unaishi maisha ya furaha kadri unavoweza.

Thank me later.
 
Back
Top Bottom