Am I wrong if I process divorce?

Kuna bwana mmoja hapa DSM anaitwa Mahela mke wake alimuwekea sumu kwenye chakula ila akadokezwa mapema. Cha ajabu eti kanisa linataka asamehe na avumilie, aliwatukana akaondoka zake na nyumba akaikimbia. Yuko uhamishoni sijui mkoa gani.

Naona nawe msimamo wako ni kama ule, mbona sijaona mahala ambapo Bible inasema mtesane kwenye ndoa.
 
Ndio maana napenda ndoa za mkataba, hiyo nyumba aliyoandika jina la ndugu yake umechangia katika ujenzi? Maadam umeenda shule tafuta wakili akushauri kimyakimya. Chunga jasho lako lisiliwe na wanawake wengine! Anza mambo yako ya kiuchumi pembeni.
 
Ndio maana napenda ndoa za mkataba, hiyo nyumba aliyoandika jina la ndugu yake umechangia katika ujenzi? Maadam umeenda shule tafuta wakili akushauri kimyakimya. Chunga jasho lako lisiliwe na wanawake wengine! Anza mambo yako ya kiuchumi pembeni.
 
Kwa hayo uliyoandika please find divorce na uangalie maisha yako. Some men Ni watoto wa mama na hawatakaa wakue all life long.
back to Mr comforter.... kuwa naye makini maana unapokuwa desperate ni rahisi kufall kwa yeyote mwenye nafuu kuliko ulipo now.
Good luck
 
Safiiii I love it ,nikiona a man anaandika uhalisia wa ushauri kwa case za aina hii.
Barikiwa mwaya.
 
Ma dia kama unayosema ni kweli hufichi kitu basi Bora uondoke hapo kaanze upya mama huku unatafuta mwanasheria wako uprocess divorce.. muwekee vizuizi kazini asijekuleta fujo akakuharibia kazi pia usijiingize kwenye mahusiano haraka kwa kisingizio cha comfort mwisho Sali sana funga na mlilie Mungu atajibu
 
Mr.comforter atulie kwanza!
Mdada akiturn up mind yake na kukaa sawa ndo afikirie kufanya maamuzi!
Huyo mfujaji akimgundua tu kipindi hiki bidada
Atamwangushiwaa jumba bovu!
 
Wakati mzuri umekaribia .
Nashauri ongeza ukimya na endelea kuwa selfish
Usipende tena kumfatilia hata kwa kuangalia status za mitandao pamoja na kushika simu yake.

Siku zote hali kama hiyo ikitokea na hata kuendelea kwa muda naamini Muda mzuri umewadia sana.

Get some snack kipindi ameingia ndani just make sure umeandaa kila kitu vizuri then be selfish mean usiwe na habari nae sana.
 
Safiiii I love it ,nikiona a man anaandika uhalisia wa ushauri kwa case za aina hii.
Barikiwa mwaya.
Mkuu nimekutana na wadada wenye kesi kama hii not once, na kiukweli waume zao unakuta wapo busy triple 7, Samaki Samaki au kidimbwi na the so called washkaj na michepuko. No maendeleo home na nyumba kila siku ina ugomvi. Kiufupi huwa hawabadiliki na napenda kuwashauri kina dada wote wenye waume wa hivo; Tafadhali chukua hatua mapema usingoje jua kuzama. To all men, It’s unfair kumtendea binti wa mwenzio ujinga na manyanyaso kama hayo.
 
Kitendo cha kushabikia mtu kuzabwa vibao kisa anachanganya lugha kwenye kuandika kinaonesha jinsi akili yako ilivyodumaa wakati fuvu linatanuka. Humu tunapingana na unyanyasaji kila siku
 
Girl;
I know these things

First you married too young(meantally),
Second you married for wrong reasons
Third he married for wrong reasons
Fourth any steps you take in your current situation will be wrong.
Fifth Christian or No Christian if you want out Go Out
Sixth It will still hurt whether you walk out or you stay in So no easy walk to freedom

My Advice to you is this.Is this guy worth you?Are you worth him?Are you two worth each other?Do you even love each other?Do you even love him?

If you think you can continue wth that kind of life and I assure you it is addictive then hold on But if you choose to walk out do not dash into another relationship to look for a healing.Take Walk eastward and never look back,

Love is sweet and bitter but break up is sweet and bitter also.If if you feel enough is enough then end it.But never say I never warned you.It is not fair in LOVE and WAR
 
Libarikiwe tumbo lililokuleta duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…