mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Wewe ukitaka harusi sio ndoa maana ndoa ni maisha. Matokeo yake ukapata mwanaume sio mume kifupi hapo hakuna ndoa hakuna mwenye feeling na mwenzie sio wewe wala yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna bwana mmoja hapa DSM anaitwa Mahela mke wake alimuwekea sumu kwenye chakula ila akadokezwa mapema. Cha ajabu eti kanisa linataka asamehe na avumilie, aliwatukana akaondoka zake na nyumba akaikimbia. Yuko uhamishoni sijui mkoa gani.Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.Bwanaaaa weeeeh, una hamu tu ya ndoa.
Heb tuache kwanza.
Dah!!
Safiiii I love it ,nikiona a man anaandika uhalisia wa ushauri kwa case za aina hii.Kwa hayo uliyoandika please find divorce na uangalie maisha yako. Some men Ni watoto wa mama na hawatakaa wakue all life long.
back to Mr comforter.... kuwa naye makini maana unapokuwa desperate ni rahisi kufall kwa yeyote mwenye nafuu kuliko ulipo now.
Good luck
Hakuna mahala nimekulazimisha uniquote au unijibu.Dah!!
Anyways acha niache kujibu reply zako.
Mr.comforter atulie kwanza!Kwa hayo uliyoandika please find divorce na uangalie maisha yako. Some men Ni watoto wa mama na hawatakaa wakue all life long.
back to Mr comforter.... kuwa naye makini maana unapokuwa desperate ni rahisi kufall kwa yeyote mwenye nafuu kuliko ulipo now.
Good luck
Mkuu nimekutana na wadada wenye kesi kama hii not once, na kiukweli waume zao unakuta wapo busy triple 7, Samaki Samaki au kidimbwi na the so called washkaj na michepuko. No maendeleo home na nyumba kila siku ina ugomvi. Kiufupi huwa hawabadiliki na napenda kuwashauri kina dada wote wenye waume wa hivo; Tafadhali chukua hatua mapema usingoje jua kuzama. To all men, It’s unfair kumtendea binti wa mwenzio ujinga na manyanyaso kama hayo.Safiiii I love it ,nikiona a man anaandika uhalisia wa ushauri kwa case za aina hii.
Barikiwa mwaya.
Kitendo cha kushabikia mtu kuzabwa vibao kisa anachanganya lugha kwenye kuandika kinaonesha jinsi akili yako ilivyodumaa wakati fuvu linatanuka. Humu tunapingana na unyanyasaji kila sikuWanawake wanao andika kwa kuchanganya lugha mbili kuunda sentesi huwa wana viburi na jeuri sioni kosa la mme wako kukuadhibu kwa kukuzaba vibao.
Pili usisikilize maneno ya wadada humu ndani wengi wao hawajui nini maana ya ndoa, pengine hata hawajaolewa na asilimia kubwa humu ni Wasimbe hivyo usidanganyike na shauri wanazokupatia utazidi kupotea.
Tatu na mwisho itisha kikao cha familia zote mbili naona wao wako na nafasi nzuri ya kukushauri vyema.
Kila la kheri.
Ni kweli.
Girl;Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?
I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.
It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;
1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)
2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'
3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake
4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)
5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia
6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot
7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.
8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)
Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.
Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo
I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.
Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa
But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice
Libarikiwe tumbo lililokuleta duniani.Mkuu nimekutana na wadada wenye kesi kama hii not once, na kiukweli waume zao unakuta wapo busy triple 7, Samaki Samaki au kidimbwi na the so called washkaj na michepuko. No maendeleo home na nyumba kila siku ina ugomvi. Kiufupi huwa hawabadiliki na napenda kuwashauri kina dada wote wenye waume wa hivo; Tafadhali chukua hatua mapema usingoje jua kuzama. To all men, It’s unfair kumtendea binti wa mwenzio ujinga na manyanyaso kama hayo.