Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Tatizo siyo kukosea kuchagua, anaweza kuwa mtu sahihi kabla ya ndoa ila ndani ya ndoa mambo yakawa tofauti. Kuliko kufikia hatua yenye madhara kama ndoa imeshindikana ni kheri kila mtu ashike hamsini zake mambo ya kusema navumilia navumilia haya tulimzika ndugu yangu 2015. Kwanza kila kitu kina nafasi ya pili tofauti na uhai na kukosea kupo vilevile tatizo ni kuanza kuhisi jamii itanichukuliaje tukiachana? Nitaishi vipi maisha mapya?Kiapo cha ndoa kimeandikwa nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha.
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app