Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Kiapo cha ndoa kimeandikwa nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha.
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siyo kukosea kuchagua, anaweza kuwa mtu sahihi kabla ya ndoa ila ndani ya ndoa mambo yakawa tofauti. Kuliko kufikia hatua yenye madhara kama ndoa imeshindikana ni kheri kila mtu ashike hamsini zake mambo ya kusema navumilia navumilia haya tulimzika ndugu yangu 2015. Kwanza kila kitu kina nafasi ya pili tofauti na uhai na kukosea kupo vilevile tatizo ni kuanza kuhisi jamii itanichukuliaje tukiachana? Nitaishi vipi maisha mapya?
 
Kuna ndugu yangu alikuwa anavumilia hayo tukaongeaaa wee kanyaaa wee waaapi basi bwana tar za mwishoni mwezi wa 12 mwaka 2015 tukapigiwa simu tukachukue maiti ya ndugu yetu, tukazika na maisha yanaendelea. Story yake ikaishia hapo japo tunamkumbuka sana. Ndoa siyo kifungo kama inavyohubiliwa makanisani, upendo ukiisha kila mtu ashike hamsini zake.
Saint Anne mambo ndo huwa hivi. Sio vzr kumshauri mwenzako Kama ulivyomshauri hapo juu. Umebahatika kuwa na ndoa yenye amani shukuru sana Mungu maana upande wa pili huujui. Ndoa si vita, Kuna vya kuvumilia lkn si Kama hivyo.
Dah nimeshangaa sana comment yako umeshauri Kama mbibi wa Kijijini wa miaka ya 1870
 
Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙋‍♂️
Nicheke tu.
 
Dah pole sana mamii, usisubiri uje ufe kwa kipgo. N bora ukae pemben kabisa fanya mambo yako ulee wanao koz ,kama una miaka 11 ya ndoa na vtuko hvyo ndoa haina umuhimu aman ya moyo haipo kwann uumie moyoni mpaka mwilini mwako. Yaan n bora udivorce tu koz anakuharibu kisaikolojia ,kimwili . nachukia sana maisha ya kupigwa.Mungu akuteteee
 
What is your life worth for?

Huna furaha, huna amani. Ni vipigo,kilio, manung'uniko, na bado umenatana.

Huyo mumeo anakutandika na kukufanyia hivyo vibwengo vyote kwa sababu kakuona wewe ni zezeta (sijutii kukuita).

Unaendeshwa ka gari bovu. Bora hata gari bovu linakosa breki linajipitisha asipotaka dereva.

Huwezi kuvumilia yote hayo kwa jina la kumuogopa Mwenyenzi Mungu. Huo ni uzwazwa.

Sawa, unavaa kiheshima kumtunzia. Mbona sasa hakutombi?? Miezi minne na hajali?

Achana naye. Amua kusonga mbele. Hata Mungu ameshaona. Jitambue.

Uvumilivu uwe kwa kiwango. Hata ucha Mungu uwe kwa kutumia akili.

Mhubiri 7:16
Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe.
 
Una hakika gani atarudishwa kwao akiwa kwenye jeneza??
Wewe mtazamo wako ni huo,
Mimi mtazamo wangu ni Mungu atambadilisha.

Sijaolewa bado na Mungu atanipa wa kufanana naye,siyo huyo unayemtaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
You are so wrong my friend. Na Kama hujaolewa ndo kabisa kaa kimya huna experience yoyote huna haki ya kutoa ushauri tena wa aina hiyo.
Kweli nimeamini ule msemo wa wanawake hatupendani.
Ushauri wako haupo sawa..omba Mungu upate mume muwe na amani na si kumshauri mwenzako avumilie yote hayo. Kwaajili gani sasa?
Hujui maana ya ndoa wewe
 
Ajabu ni kuwa
Hawataki dada zao
Binti zao
Binamu zao
Rafiki zao
Kuwa wanawake wa aina hii.
Aina hii ya mwanamke inafaa pale tu mwanamke wa hivi anapokuwa mke wake.
Ila wanaowahusu ,weeeeeeh.
So sad
 
Wanawake walivyoshambulia huu uzi halafu utakuta na wao wale wale au ni masingo maza.....

Anyway...

Mshakaa kikao cha usuluhishi au ukashair story yako na mshenga au ndugu/mama shangazi n.k?

Au ndugu zake?

Au mshauri wa ndoa yenu?
 
Saint Anne mambo ndo huwa hivi. Sio vzr kumshauri mwenzako Kama ulivyomshauri hapo juu. Umebahatika kuwa na ndoa yenye amani shukuru sana Mungu maana upande wa pili huujui. Ndoa si vita, Kuna vya kuvumilia lkn si Kama hivyo.
Dah nimeshangaa sana comment yako umeshauri Kama mbibi wa Kijijini wa miaka 1870
Kwa sababu anampiga basi aende hata kwao apumzike,
Sitamani achukue talaka.

Huyo mwanaume kuna siku atarudi tu kumlilia huyo dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye bibilia inasema mtu akitoka nje ya ndoa,akizini,talaka inahusika!

Unataka huyu mdada auwawe for the sake og marriage.My love ndoa ya duniani tu kila mtu anakufa kivyake/anahukumiwa kivyake na hakuna ndoa baada ya kifo.

Sometimes enough is enough.
 
You are so wrong my friend. Na Kama hujaolewa ndo kabisa kaa kimya huna experience yoyote huna haki ya kutoa ushauri tena wa aina hiyo.
Kweli nimeamini ule msemo wa wanawake hatupendani.
Ushauri wako haupo sawa..omba Mungu upate mume muwe na amani na si kumshauri mwenzako avumilie yote hayo. Kwaajili gani sasa?
Hujui maana ya ndoa wewe
Nimemshauri kwa mujibu wa maandiko na amesema kuwa alifunga ndoa ya kanisani.

Sijaolewa lakini nimeshawahi kuona hizi case hata katika ngazi za familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.

Kiapo kimeandikwa na wanadamu na sio Mungu...

Then, huo mstari wa alichounganisha Mungu naona huwa unatumika vibaya kutaka kuaminisha wanandoa kuwa wavumiliane...

Sikiliza binti najua wewe ni mtu wa dini /imani ya Kristo kindakindaki, Mungu alipomuumba mtu mume na mtu mke aliwabariki na alimfanya mke kuwa msaidizi wa mume ambaye ni kichwa cha ndoa...

Mungu hakumpa Adam mwanamke ili huyo Adam afanye kama haya tunayosimuliwa huyu mwanaume anafanya...
 
Back
Top Bottom