Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Takwimu ziko kinyume na wewe

Unachosema si cha kweli

Ndoa zote,nzuri na mbaya,ndoa wanazopigwa au wao wanazopiga,wanaoanza kufa disproportionately by far ni wanaume

Wanawake hua hawafi regardless...

Usimdanganye bwana
jaman wale waliochomwa kama mkaa ni wanawake? wanaopigwa risasi je? mimi naona tu ikishindikana bora mtu usepe bila matatizo kuwa makubwa na vilema juu maana ukiwa kilema utaachwa hapo na ataoa mwingine tu na mateso yatakuwa makali zaidi.

mfano mzuri ni yule bi dada aliyekubali 0713 kwa ajili ya kutunza penzi lakini mwisho wa siku alivyoaanza kujiharishia bila break aliachwa hapo.

Nasisitiza, ndoa sio sehemu ya kuvumilia mateso bali sehemu ya kufurahia maisha
 
Pol e sana kwa unayoyapitia mkuu, kiukweli una moyo wa kipekee, kudundwa hadi kulazwa na bado unawaza utoe talaka ama vipi? talaka itakufuata. for the sake of your baby and yourself bora uondoke tu mapema uanze upya. hatujaumbiwa mateso ila tunayataka wenyewe,,,kuvumilia kupo ila ikiwa too much jiongeze dada angu,,,ukifa watakaoumia ni watoto na nduguzo ukijumlisha wazazi wako. chukua hatua mapema na since you are a God fearing person, milango itafunguka tu na kazini utendaji utakuwa sawa.

cha muhimu usimuache Mungu.
Najiulizaga hawa mademu wanaume kama sisi hawatuonagi au 😅 mpaka ukawe na bandidu wa hatari! Hii inakamilisha ule usemi wa kuwa wanawake wanapenda penye misukosuko kuliko peace of mind na hapo hataondoka mtamshauri ila ndo kwanza jioni anajipikisha kahawa anampa Tyson wake 😅😅😅
 
Hata mie naona, but najua ulisema worst mistake is a man putting his hands on you!
Yeah, huwezi sema unanipenda hlf unanidunda. Mengine mengi navumilia,na yeye anavumilia mengi tu.
Ndoa ni tamu sana sometimes 😄😄, sasa hivi kwangu ni Tamu mnooo
 
hahahahaaa

Wanawake bana..psychology yenu ni ya kushangaza

Emotionally hampo independent,mnapenda mtu awape caring kidogo tu ya emotions zenu then hata kama umeolewa na alietoa hiyo caring ni kichaa utampa matundu yote

Mwanangu hapo angekua karibu akaweka na uchawi kidogo tundu hili hapa..

Just kidding bana dont come all guns out blazing on me
Sijawahi ona una comment kwa furaha hivi mkuu leo itakua siku yako nzuri sana.
 
Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.

Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.

Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.

Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh sikujua kama nawe huwa unasupport mwanamke kuendelea kubaki kwenye ndoa hata kama anapigwa hadi kutaka kufa
 
jaman wale waliochomwa kama mkaa ni wanawake? wanaopigwa risasi je? mimi naona tu ikishindikana bora mtu usepe bila matatizo kuwa makubwa na vilema juu maana ukiwa kilema utaachwa hapo na ataoa mwingine tu na mateso yatakuwa makali zaidi.

mfano mzuri ni yule bi dada aliyekubali 0713 kwa ajili ya kutunza penzi lakini mwisho wa siku alivyoaanza kujiharishia bila break aliachwa hapo.

Nasisitiza, ndoa sio sehemu ya kuvumilia mateso bali sehemu ya kufurahia maisha
Huyo dem nae chizi kweli sasa ukimpa tigo mwamba ndio hakuachi?
 
Najiulizaga hawa mademu wanaume kama sisi hawatuonagi au 😅 mpaka ukawe na bandidu wa hatari! Hii inakamilisha ule usemi wa kuwa wanawake wanapenda penye misukosuko kuliko peace of mind na hapo hataondoka mtamshauri ila ndo kwanza jioni anajipikisha kahawa anampa Tyson wake 😅😅😅
yaaani na kweli naona tukipiga kelele tu ila tunakuwa tumeshamaliza kazi yetu.

ila bhana wanawake tuna mambo, ukikutana na mtu mpole unaanza kuzingua tunapenda hekaheka mingi tu
 
Duuh sikujua kama nawe huwa unasupport mwanamke kuendelea kubaki kwenye ndoa hata kama anapigwa hadi kutaka kufa
Missez miss u! Ka Anne hakajui mziki wa ndoa ambayo mtu anadundwa! Kwa hii story msela ndio mkorofi bila shaka
 
Ndoa za early 20’s huwa zinahitaji watu wakomavu sana aisee😅😅😅 mkikurupuana ndio yanakuja tokea haya!

Mwamba bila kuambiwa tu najua lazma ni mtoto wa kichaga, top of the list when it comes to careless guys ni hawa jamaa😀! Anaweza akaoa halafu akawa busy na malaya tu tena wanaoneaga mabinti waoga waoga na wapole wanawapiga matukio kichizi wao pombe,mpira na washkaji!
Yes nakubaliana na ww walifunga ndoa mapema jamaa alikuwa hajamalizana na purukushani za maisha,chovya chovya....ijapokuwa sijui tofauti ya umri wao(inaonekana they were both young)ila walio wengi wanasettle na waliowazidi kwasababu wamepitia mengi na wametulizana.

Kitu kingine ni level of tolerance inaonekana jamaa kashajua mke wake ni weak kwake yaani kafa kaoza maana anavumilia yote,ndio maana haishi kupigwa vitendo.Hapo dawa kumuonesha tu she had enough and she can stand by herself without him,tangia hapo ye ndo anatunza familia nzima ni kuondoka tu labda common senses jamaa zitamrudia na ajue thamani ya mkewe.
 
you are gorgeous!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! thank you
 
jaman wale waliochomwa kama mkaa ni wanawake? wanaopigwa risasi je? mimi naona tu ikishindikana bora mtu usepe bila matatizo kuwa makubwa na vilema juu maana ukiwa kilema utaachwa hapo na ataoa mwingine tu na mateso yatakuwa makali zaidi.

mfano mzuri ni yule bi dada aliyekubali 0713 kwa ajili ya kutunza penzi lakini mwisho wa siku alivyoaanza kujiharishia bila break aliachwa hapo.

Nasisitiza, ndoa sio sehemu ya kuvumilia mateso bali sehemu ya kufurahia maisha
Huyo mwanamke nae hajielewi kabisa kutoa hyo tg ndo kukaribisha ushetani ndani na kama ni dharau inakuwa ya juu sasa atachaje kukudharau wkt ushampa mpk mk wako?
 
Yes nakubaliana na ww walifunga ndoa mapema jamaa alikuwa hajamalizana na purukushani za maisha,chovya chovya....ijapokuwa sijui tofauti ya umri wao(inaonekana they were both young)ila walio wengi wanasettle na waliowazidi kwasababu wamepitia mengi na wametulizana.

Kitu kingine ni level of tolerance inaonekana jamaa kashajua mke wake ni weak kwake yaani kafa kaoza maana anavumilia yote,ndio maana haishi kupigwa vitendo.Hapo dawa kumuonesha tu she had enough and she can stand by herself without him,tangia hapo ye ndo anatunza familia nzima ni kuondoka tu labda common senses jamaa zitamrudia na ajue thamani ya mkewe.
Hao jamaa ni Narcissist mbaya mbovu, yani demu akionesha nia ya kuondoka hapo jamaa atajirudi na kujilizaliza vibaya mno kwamba anampenda sana wayaongee😅😅😅! Demu anapangwa anaendelea kuvumilia tu makofi!

Nilikuwa na ex wangu alikuwa anapitia haya haya aisee! Wao walikuwa hawajaoana jamaa akampanga kuwa amzalie ndio kama atatulia weee! Sahzi mambo mbaya zaidi demu anajuta mno!
 
Back
Top Bottom