Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Sijajua wanandoa mnawezaje kulala kitanda kimoja miezi minne hakuna salamu wala kuongeleshana wala (kutiana) pasipo kuwa labda mmoja anaumwa au kasafiri
Hili ni gumu sana mkuu, 4 months mnaangaliana tu no fvking, no shyte na mnalala bee moja! Yaani huyo jamaa kama hana micheps basi he's wanking dunia isimame.
 
THANK YOU ALL FOR YOUR SUPPORT..THE ANECDOTES, CRITICISM,THE FACTS AND STATISTICS,THE SENSORY DETAILS AND ALL THAT. NIMETUMIA MUDA MWINGI LEO KUSIKILIZA. BE BLESSED AND NINAKWENDA KUFANYA MAAMUZI SASA. MUCH LOVE AND ALL THE BEST IN ALL THAT YOU DO GUYS.
GRACIAS
 
Ninaenda kuanza kubeba all needs and my kid..japo ananitishiaga hawezi kukaa mbali na mwanae hata mahakamani. Mimi siwezi kumuachia mtoto kwa ukisirani wake, haya mambo jamani
Kuhusu maamuzi ya ndoa fanya vile moyo wako na nafsi yako inaridhia, kuhusu mtoto sheria itaamua endapo atakuletea chokochoko.

Naamini kama ni kweli hayo maswaibu ulivyoeleza ndivyo ilivyo, basi ni lazima atakuja kukupigia magoti ikiwa utaamua kuishi kivyako kwasababu hatokuja kumpata mwanamke wa kumnyanyasa na kumtesa kama anavyokufanyia wewe
 
Siutafuti u saint dear..mimi kufua napenda na napenda hekaheka za nyumbani. Yani napenda kujishughulisha hata kazini. Sipendi kuwa idle..nima hasira hio ni weekeness yangu kubwa na kuhisi naonewa..naona kama dunia nzima inajua shida zangu sasa nikionewa huwa na hasira but ndani ya muda mfupi narudi kawaida.
did i read it right? unahisi unaonewa ama unaonewa kiukweli kama nilivyosoma

sorry kama sijaelewa maana kuishi na mwanamke mwenye mahasira hovyo halafuvbaada ya muda anakuwa sawa nayo ni tatizo

mfano mzuri chukua bunduki piga kwenye ukuta, hata uje uzibe hilo tundu bado kovu litaonekana tu na ndivyo inakuwa kwa partners,,,una kuwa na hasira zako unaongea maneno yasiyofaaa mwenzako ana take note, hata baada ya muda mfupi ukirudi normal huwezi badilisha aliyo yanoti kutoka kwako.

NB: usipende kuhisi, jaribu kuwa na uhakika wa kitu kwanza.
 
Ninalia sanaaaa na ananiona nikilia
Damn lady, unanikumbusha nyimbo ya “Ashanti rain on me” na movie flani ya MYA inaitwa “Love for sale” alikuwa na mchizi bully in the same situation as yours! That nigga was overly jealous 😅😅😅 kiasi kwamba alikuwa anam suffocate demu wake yani...finally real man alijibebea mzigo kilaini!

I hate to see such innocent kind of Lady crying adi nimelia hapa kwa uchungu 😖 but you got to hold yourself tight and beat the hell out!
 
Ninaenda kuanza kubeba all needs and my kid..japo ananitishiaga hawezi kukaa mbali na mwanae hata mahakamani. Mimi siwezi kumuachia mtoto kwa ukisirani wake, haya mambo jamani
Hivi ukimuachia mtoto atamla nyama mtoto wake?
Unamuendekeza sana huyo BWEGE. Na wewe ni ZOBA lake, na anajua hilo. Huwa wanasema kenge hasikii hadi akitokwa damu masikioni during his last heart beats.
 
And please don't rush into another relationship now.

Not now.
Mambo ya kulipiwa vacation unafika huko unaanza kuangua kilio.
Unatumiwa text ya I love you, we unatamani kujibu wanaume wote mambwa.
Hapana
Heal, take your time, relax, take of you mind, body, well being, your son/daughter affair, your relationship with God, career.

Eventually things will fall on their right path.
 
Hili ni gumu sana mkuu, 4 months mnaangaliana tu no fvking, no shyte na mnalala bee moja! Yaani huyo jamaa kama hana micheps basi he's wanking dunia isimame.
Ni dhahiri mwanaume atakuwa anafuckk nje kiasi cha kuidharau qumar ya mkewe jambo ambalo anakosea sana. Miezi minne no fuccking! na sio kama anaumwa! NO WAY!!
 
Damn lady, unanikumbusha nyimbo ya “Ashanti rain on me” na movie flani ya MYA inaitwa “Love for sale” alikuwa na mchizi bully in the same situation as yours! That nigga was overly jealous 😅😅😅 kiasi kwamba alikuwa anam suffocate demu wake yani...finally real man alijibebea mzigo kilaini!

I hate to see such innocent kind of Lady crying adi nimelia hapa kwa uchungu 😖 but you got to hold yourself tight and beat the hell out!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inawezekana
Sana tu.
Mi wala sishangai.
Mke wangu wa ndoa haijawahi kutokea , haijatokea na haitokaa itokee isipokuwa aidha kuumwa au sababu za msingi sana sio hizo za kitoto, vinginevyo hakuna ndoa
 
Ni dhahiri mwanaume atakuwa anafuckk nje kiasi cha kuidharau qumar ya mkewe jambo ambalo anakosea sana. Miezi minne no fuccking! na sio kama anaumwa! NO WAY!!
Nigga gettin cookies from the other side 😅😅😅 tena ana hela ya Kidimbwi na Hennessy what a life, Got dayumn!!! Nigga be smashing pussiez left n right ooh lord have mercy!!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mweeeeh Bora unacheka.
Umeona dunia ilivyo pana, taaamu, ya kupendeza.

Look very.
There is still love, laugh, smile, hugs, respect, orgasms, conversations.

Yaaaaani maisha hayasimamiiiiii.
Siku ziiiiile zile Mungu alisema dunia ndo itakuwepo zitabakia.
Likewise your life.
 
And please don't rush into another relationship now.

Not now.
Mambo ya kulipiwa vacation unafika huko unaanza kuangua kilio.
Unatumiwa text ya I love you, we unatamani kujibu wanaume wote mambwa.
Hapana
Heal, take your time, relax, take of you mind, body, well being, your son/daughter affair, your relationship with God, career.

Eventually things will fall on their right path.
Amen..thank you sis.
 
Achana na huyo Bwana mummy

kapange nyumba japo 2 bedroom
Uishi comfortable na mwanao wakati unajipanga..for the future

file for divorce
Na km anakataa kusign
Tengana nae

Jisamehe na anza kujipenda
Fanya kazi lea mtoto na kujipendaa
Tena sanaa

Ruhusu mtu mwingine akupende

Aliekengeuka ni huyoo tu mummy
Wanaume wazuri wapo,Wanaume very smart wapooo
Jipe tu muda...TO HEAL...
At 30 ur sooo young...

Give urself another chance
Usikurupuke.,penda tena polepole...
HUTOJUTIA
 
Back
Top Bottom