Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Huyo mwanaume ana matatizo ya nguvu za kiume. Ana inferiority complex juu ya hilo, na anajaribu kuonyesha uanaume wake kwa kumpiga mkewe. Pia, si unaona anavyohangaika kuhusu uonekano wa mkewe? Yaani anakua na wasiwasi kwa sababu yeye nguvu zake za kiume ni za kisoda, mkewe akipendeza sana wanaume wenye maguvu yao ya kiume watamparamia huko nje na kumpiga ukuni hadi mkewe amsahau. that is why kila siku anahangaika kuhakikisha mkewe hapendezi.
Huyu mdada angeweza kusema mambo zaidi hapa, nakuhakikishia angesema kuwa mumewe ni mzee wa dakika moja kama jogoo, na akipiga hako ka dakika 1, jogoo kuwika tena ni hadi kesho. Ukifuatilia zaidi hata kwa hao michepuko wa huko nje habari ni hiyo hiyo, unaweza kuta hata hawagongi, bali huwa anawalipa tu waendelee kumfichia siri.
Wanaume malaya huwa wanagonga ndani (kwa wake zao), na wanagonga nje, hawaachi wala kuchagua mbususu.
Mwanaume malaya anamuangalia mkewe anaelala nae kitanda kimoja miezi minne bila kuchakata mbususu? Are you fucki.ng kidding me???
Niamini mimi.
mbalizi1
Inafikirisha sana kwakweli
 
Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.

Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.

Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.

Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
yaani wewe mkuu una roho ngumu sasa hapo unamshauri apende nini
 
Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?

I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.

It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;

1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)

2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'

3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake

4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)

5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia

6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot

7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.

8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)

Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.

Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo

I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.

Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa

But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice

Mwanaume anayepiga mke Hafai kabisa
 
Wakati mwingine hawa wake zetu huwa tunawaonea sana bas tu. Unamnyanyasa , unampa mateso, unamdharau anakuvumilia tu. Umnyime na dicck! haki ya msingi kbs ya ndoa daaaah! NOT FAIR kwakweli
Jamaa anamuona kama mbuzi tu 😅 ambaye kafungwa kamba shingoni hana pa kwenda 😅
 
Ni vizuri umefahamu umezidiwa. Anza mikakati sasa ya kipi cha muhimu unahitaji kutoka hapo nyumbani na vile unavyoweza kuhamisha kirahisi uanze kuvihamisha mara moja kwa kumshirikisha msiri wako dada yako. Na vile ambavyo si rahisi basi inabidi hata uchukue off kazini na ujue hatakuwepo nyumbani na unaandaa watu wanakuja kuhamisha na wewe ndiyo unasepa kimoja. Watoto wachukue kwani bado wadogo.

I could swear to any name you would want me to...huwaga nasomaga tu bila account yoyote mpaka nilivyoona nazidiwa
 
wengine tukiona demu anajilengesha sana tunamkwepa...wewe itabidi utumie nguvu kudanga kwa kujilengesha
Nguvu zipi si anajipendekeza kwa Gym trainer au Viben 10 anakipa hela ya jeans na sendeu zao za kariakoo zile kinampiga pumbu akikichoka anakitema😅😅😅 haya makundi mawili hayakataagi free papuchi
 
Jamaa anamuona kama mbuzi tu [emoji28] ambaye kafungwa kamba shingoni hana pa kwenda [emoji28]
Anakosea sana, nyumbani ni nyumbani lazima utembeze ub0o hadi mke ajiulize huyu baba inakuwaje anchapa nje na ako na pigo za ukweli uwanja wa nyumbani[emoji1]
 
Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeeh haya mawazo na mtazamo huu ndo wengi wanakufa au kupata vilema ndani ya ndoa lol.
Hapana kwa kweli. Mweeeeh
 
Huyo mwanaume ana matatizo ya nguvu za kiume. Ana inferiority complex juu ya hilo, na anajaribu kuonyesha uanaume wake kwa kumpiga mkewe. Pia, si unaona anavyohangaika kuhusu uonekano wa mkewe? Yaani anakua na wasiwasi kwa sababu yeye nguvu zake za kiume ni za kisoda, mkewe akipendeza sana wanaume wenye maguvu yao ya kiume watamparamia huko nje na kumpiga ukuni hadi mkewe amsahau. that is why kila siku anahangaika kuhakikisha mkewe hapendezi.
Huyu mdada angeweza kusema mambo zaidi hapa, nakuhakikishia angesema kuwa mumewe ni mzee wa dakika moja kama jogoo, na akipiga hako ka dakika 1, jogoo kuwika tena ni hadi kesho. Ukifuatilia zaidi hata kwa hao michepuko wa huko nje habari ni hiyo hiyo, unaweza kuta hata hawagongi, bali huwa anawalipa tu waendelee kumfichia siri.
Wanaume malaya huwa wanagonga ndani (kwa wake zao), na wanagonga nje, hawaachi wala kuchagua mbususu.
Mwanaume malaya anamuangalia mkewe anaelala nae kitanda kimoja miezi minne bila kuchakata mbususu? Are you fucki.ng kidding me???
Niamini mimi.
mbalizi1
Huo ndio ukweli.

Dr nikuletee ngapi kwa bili yangu.
 
Kuna ndugu yangu alikuwa anavumilia hayo tukaongeaaa wee kanyaaa wee waaapi basi bwana tar za mwishoni mwezi wa 12 mwaka 2015 tukapigiwa simu tukachukue maiti ya ndugu yetu, tukazika na maisha yanaendelea. Story yake ikaishia hapo japo tunamkumbuka sana. Ndoa siyo kifungo kama inavyohubiliwa makanisani, upendo ukiisha kila mtu ashike hamsini zake.
@Saint Anne njoo soma hapa. Lol
 
Na wewe tu unafikiria huwa ngumu mitongozo daily unaangalia aliyekuvutia na sio kujilengesha
Hahahah wale wa kwenye wishlist unasogeza mmoja ndani 😅😅😅 ila mwanamke easy sana kujisevia makende kuliko sie wataftaji wa utelezi!

Inabidi uwe na bay ya papuchi nyingi ili siku ukame ukizidi unaiseti moja unailabua 😅😅😅 ila kimbembe ukiwa single kama gundu madem wanakukataa kisenge!
 
Run. ..run run...
Divorce or no divorce just run and run..

Why miaka yote unevumilia?

Mlikutana wapi kwanza??

So sad...just run na asijue unaishi wapi..

Ofisin waambie wakimuona wajue mmeshaachana agiza walinzi wampe kipigo cha kutosha..
Hakika kabisa.
 
Hahahah wale wa kwenye wishlist unasogeza mmoja ndani 😅😅😅 ila mwanamke easy sana kujisevia makende kuliko sie wataftaji wa utelezi!

Inabidi uwe na bay ya papuchi nyingi ili siku ukame ukizidi unaiseti moja unailabua 😅😅😅 ila kimbembe ukiwa single kama gundu madem wanakukataa kisenge!
Mwenye nacho huongezewa mze😂
 
Back
Top Bottom