Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Ni kweli kabisa. Mungu anisaidie nigegedwe hadi miaka 60 kama nitakuwa hai. Sipati picha kuimiss hii kitu. Uzee nyoko sana
natamani Kama enzi hizo niwe ki Ben 10 chako nitaenjoije kuwa marioo

(Samahani Kwa kukuvunjia heshima mama natania tu)

😜😜😜😜
 
😂😂😂 Aisee sijawahi tamani mwanaume mwenye umri mdogo. Nikimzidi isiwe less than 5yrs. Naomba tu huyu niliyenae awe bado na nguvu pia. I want only him ndo tunawezana.
 
Kwa nn usitoke ukapange hata chumba kimoja kujenga kutakuja baadae na hiyo talaka.
 
Ngoja nimpigie mke wangu nimwambie samahani! Ukweli imeniuma Sana, maana kuna vitu umeandika nimevisoma nikiwa na akili timamu muda huu, nimegundua ninamkosea sana mke wangu pia. Siyo yote lkn maumivu yako mengine nimeyaona kwa mke wangu pia.

Mungu nisamehe, mke wangu nisamehe [emoji120]
So touching...nenda karekebishe kaka na Mungu akutangulie. Ndoa yenye amani ni dawa ya mwili na roho.
 
Am 41 and my libido is getting higher everyday. Naamini nikifika 50 bado nitakuwa na hamu zangu. Zinaweza kupungua lkn sio kwa kiasi cha kuondoka kabisa.
Ina maana hujaguswa tangu una miaka 42 (umri almost na wangu) ..ulikuwa bado mbichi kabisa.
Siwezi jamani hata shetani atanishangaa
Kabisa dear i was 42 alivyonisusa. I use other means to satisfy myself ila ukiniona huwezi amini im 51 i look 40. Im depressed
 
😂😂😂 Aisee sijawahi tamani mwanaume mwenye umri mdogo. Nikimzidi isiwe less than 5yrs. Naomba tu huyu niliyenae awe bado na nguvu pia. I want only him ndo tunawezana.
kiben 10 Ina radha yake bibie yaani ni kuipa vijisenti tu inakua sex machine uzee wako unakua burudaniiiii kabisa sababu kibabu wako atakua amechoka makilometa nae anatafuta vidogori vimchangamshe damu
Siunajua Tena!
 
Ha haaa nimechekaaa, yaani mimi huyu huyu nimuhonge mwanaume anikule 😂😂😂, will never happen. Nitatafuta njia nyingine ya kujiridhisha
 
Rosiela pole sana dia nimesoma kwa makini nikaona ni magumu gani unapitia, mpaka ulipofikia kichwani ushafanya maamuzi.

Uking'ang'ania utakufa. Natamani ni share kisa cha rafiki yangu alivumilia kama wewe mwisho amekufa ameacha watoto wadogo.

Kazi ninayofanya nakutana na hizi cases mara nyingi sana mtu anasimulia mpaka nalia mimi.

Furaha yako itafute mwenyewe.go ahead dear.kha akutese hivyo utadhani yeye ndo mwanaume tu?

On more thing ukipata mwanaume mwingine usiende kwake direct, kwanza panga nyumba uishi mwenyewe umsome.

All the best

Dear what are you waiting for? Ili usipote
 
Mmmmh
emoji848.png

Am 41 and my libido is getting higher everyday. Naamini nikifika 50 bado nitakuwa na hamu zangu. Zinaweza kupungua lkn sio kwa kiasi cha kuondoka kabisa.
Ina maana hujaguswa tangu una miaka 42 (umri almost na wangu) ..ulikuwa bado mbichi kabisa.
Siwezi jamani hata shetani atanishangaa
😄😄
 
Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
Tafta mzee mwenzako u enjoy life loh.
 
Ha haaa nimechekaaa, yaani mimi huyu huyu nimuhonge mwanaume anikule 😂😂😂, will never happen. Nitatafuta njia nyingine ya kujiridhisha
mama huko mbele watakua ghari Sana ujue wanaume tunabakia wachache Sana Kama huamini nenda kachukue experience pale kinondoni utakuja unipe majibu
Hivyo ukifika umri huo utaitafuta Furaha hata Kwa gharama kubwa ujue!
😂😂😂
 
Rosiela pole sana dia nimesoma kwa makini nikaona ni magumu gani unapitia, mpaka ulipofikia kichwani ushafanya maamuzi.

Uking'ang'ania utakufa. Natamani ni share kisa cha rafiki yangu alivumilia kama wewe mwisho amekufa ameacha watoto wadogo.

Kazi ninayofanya nakutana na hizi cases mara nyingi sana mtu anasimulia mpaka nalia mimi.

Furaha yako itafute mwenyewe.go ahead dear.kha akutese hivyo utadhani yeye ndo mwanaume tu?

On more thing ukipata mwanaume mwingine usiende kwake direct, kwanza panga nyumba uishi mwenyewe umsome.

All the best

Dear what are you waiting for? Ili usipote
Kina Will jr wanaona hao wanaovumilia vipigo vya mbwa mwizi hadi kufia ndoani ndo "wake wema", sio hawa "kupigwa kofi tu wanaomba ushauri".
Bongo kuna viimani vya kijinga jinga sana; Eti mwanamke anaevumilia vipigo vya mume ndo mke mwema. What a backward, slaver-ish, msogynistic belief..!!
Kuvumilia kipigo SIO uke wema, bali ni ujinga, upumbavu na kujichimbia kaburi, na ukishakufa mwanaume anatafuta the next mjinga wa kumuoa na kumtandika... Ila eti analaumiwa mwanamke.
Daaahhh....!!!
 
mama huko mbele watakua ghari Sana ujue wanaume tunabakia wachache Sana Kama huamini nenda kachukue experience pale kinondoni utakuja unipe majibu
Hivyo ukifika umri huo utaitafuta Furaha hata Kwa gharama kubwa ujue!
😂😂😂
Furaha nitaitafuta lkn sio kwa kulea kiben 10. Shindwaaa
 
Back
Top Bottom