Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Dah afadhali umenipa moyo😂😂siyo libido peke yake yaani the more you get older ndiyo unakuwa mtamu yaani nyie 40s ndiyo daah acha niishie hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah afadhali umenipa moyo😂😂siyo libido peke yake yaani the more you get older ndiyo unakuwa mtamu yaani nyie 40s ndiyo daah acha niishie hapa
natamani Kama enzi hizo niwe ki Ben 10 chako nitaenjoije kuwa mariooNi kweli kabisa. Mungu anisaidie nigegedwe hadi miaka 60 kama nitakuwa hai. Sipati picha kuimiss hii kitu. Uzee nyoko sana
😂😂😂 Aisee sijawahi tamani mwanaume mwenye umri mdogo. Nikimzidi isiwe less than 5yrs. Naomba tu huyu niliyenae awe bado na nguvu pia. I want only him ndo tunawezana.natamani Kama enzi hizo niwe ki Ben 10 chako nitaenjoije kuwa marioo
(Samahani Kwa kukuvunjia heshima mama natania tu)
😜😜😜😜
So touching...nenda karekebishe kaka na Mungu akutangulie. Ndoa yenye amani ni dawa ya mwili na roho.Ngoja nimpigie mke wangu nimwambie samahani! Ukweli imeniuma Sana, maana kuna vitu umeandika nimevisoma nikiwa na akili timamu muda huu, nimegundua ninamkosea sana mke wangu pia. Siyo yote lkn maumivu yako mengine nimeyaona kwa mke wangu pia.
Mungu nisamehe, mke wangu nisamehe [emoji120]
Kabisa dear i was 42 alivyonisusa. I use other means to satisfy myself ila ukiniona huwezi amini im 51 i look 40. Im depressedAm 41 and my libido is getting higher everyday. Naamini nikifika 50 bado nitakuwa na hamu zangu. Zinaweza kupungua lkn sio kwa kiasi cha kuondoka kabisa.
Ina maana hujaguswa tangu una miaka 42 (umri almost na wangu) ..ulikuwa bado mbichi kabisa.
Siwezi jamani hata shetani atanishangaa
Wow that's nice. I can imagine hiyo other means to satisfy yourself 😂😂. Sawa dadaKabisa dear i was 42 alivyonisusa. I use other means to satisfy myself ila ukiniona huwezi amini im 51 i look 40. Im depressed
kiben 10 Ina radha yake bibie yaani ni kuipa vijisenti tu inakua sex machine uzee wako unakua burudaniiiii kabisa sababu kibabu wako atakua amechoka makilometa nae anatafuta vidogori vimchangamshe damu😂😂😂 Aisee sijawahi tamani mwanaume mwenye umri mdogo. Nikimzidi isiwe less than 5yrs. Naomba tu huyu niliyenae awe bado na nguvu pia. I want only him ndo tunawezana.
Ha haaa nimechekaaa, yaani mimi huyu huyu nimuhonge mwanaume anikule 😂😂😂, will never happen. Nitatafuta njia nyingine ya kujiridhishakiben 10 Ina radha yake bibie yaani ni kuipa vijisenti tu inakua sex machine uzee wako unakua burudaniiiii kabisa sababu kibabu wako atakua amechoka makilometa nae anatafuta vidogori vimchangamshe damu
Siunajua Tena!
Mmmmh![]()
😄😄Am 41 and my libido is getting higher everyday. Naamini nikifika 50 bado nitakuwa na hamu zangu. Zinaweza kupungua lkn sio kwa kiasi cha kuondoka kabisa.
Ina maana hujaguswa tangu una miaka 42 (umri almost na wangu) ..ulikuwa bado mbichi kabisa.
Siwezi jamani hata shetani atanishangaa
I choose happiness over everything Tafta mzee mwenzako u enjoy life loh.Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
Mkuu na wewe umeikimbia nyumba au nimeelewa tofauti?
mama huko mbele watakua ghari Sana ujue wanaume tunabakia wachache Sana Kama huamini nenda kachukue experience pale kinondoni utakuja unipe majibuHa haaa nimechekaaa, yaani mimi huyu huyu nimuhonge mwanaume anikule 😂😂😂, will never happen. Nitatafuta njia nyingine ya kujiridhisha
Nani atatumia kuni bully?Umekosea sana kufungua uzi huu. Think again watatumia kukuBully na kukubeza through your miseries
Kina Will jr wanaona hao wanaovumilia vipigo vya mbwa mwizi hadi kufia ndoani ndo "wake wema", sio hawa "kupigwa kofi tu wanaomba ushauri".Rosiela pole sana dia nimesoma kwa makini nikaona ni magumu gani unapitia, mpaka ulipofikia kichwani ushafanya maamuzi.
Uking'ang'ania utakufa. Natamani ni share kisa cha rafiki yangu alivumilia kama wewe mwisho amekufa ameacha watoto wadogo.
Kazi ninayofanya nakutana na hizi cases mara nyingi sana mtu anasimulia mpaka nalia mimi.
Furaha yako itafute mwenyewe.go ahead dear.kha akutese hivyo utadhani yeye ndo mwanaume tu?
On more thing ukipata mwanaume mwingine usiende kwake direct, kwanza panga nyumba uishi mwenyewe umsome.
All the best
Dear what are you waiting for? Ili usipote
How? Na mbona mwanzo ulinishauri?Ni kweli
Furaha nitaitafuta lkn sio kwa kulea kiben 10. Shindwaaamama huko mbele watakua ghari Sana ujue wanaume tunabakia wachache Sana Kama huamini nenda kachukue experience pale kinondoni utakuja unipe majibu
Hivyo ukifika umri huo utaitafuta Furaha hata Kwa gharama kubwa ujue!
😂😂😂
Acha tu sie binadamu tuna viherehere. Ila hapo chini tena nikaja kumpingaHow? Na mbona mwanzo ulinishauri?