Am Looking For A Man To Have A Child With

Hivi da Zawadi unataka kumuiga ndugu yako yule ambaye naye aliolewaga na mzungu au? Kisa unaona katoto kake kazuri? Au kwa sababu anacheka unadhani ana furaha sana. Kweli usilolojua ni sawa na usiku wa giza.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Blaza" upo?

Nimejikuta nacheka baada kusoma bango la da zawadi ....

Hawa dada zetu wanahitaji "kanseling" ujuwe.....
 
Usikondo hapa umepata, nina rafiki yangu mzungu anapenda black people, ila sasa uzuri lazima uwe nao.
Hapendi san watu wenye mshembendwe mkubwa, kama unao, basi bahati yako mbaya.
Nithibitishie uzuri wako ni ku connect.
 
Kichwa cha habari kinaonesha unahitaji mzungu au kama ni mswazi awe na rasta. Nenda mbuga za wanyama utawakuta.
 
Wewe mwenyewe una sifa gani na uzuri gani? Siyo unaandika tu sifa za mtu umtakaye wakati zako hazijulikani.
 
Usijari umempata.. mimi ni miksa muhindi na mzungu[emoji4] ila si unajua sisi wa udongo wa maka ile kitu tunapenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…