Am Looking For A Man To Have A Child With

Am Looking For A Man To Have A Child With

Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Anaweza kuwa mume wa mtu au la
Sihitaji ndoa (stress tupu)
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuhama kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ajenda ndio ilipojificha. Kumbe unatafuta mzungu!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Anaweza kuwa mume wa mtu au la
Sihitaji ndoa (stress tupu)
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuhama kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Nifuate inbox nina sifa hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama mtoto anapatikana kwa mashariti hayo endelea kuwa hivyo hivyo bila mtoto wa dada wenye watoto wanajua umuhimu wa baba kwenye malezi na matunzo ya mimba na matunzo ya mtoto kwa ujumla endelea kujifariji jf hakuna mwanaume mwenye akili timamu akubali kuzaa na mwanamke mwenye majivuno hayo eti mtoto nitalea mwenyewe
 
Sipati picha inbox yako ilivyojaa muda huu.
Miye naweka mambo yangu hadharani wala sitaki mambo ya inbox nitakupa bure kabisa
 
Back
Top Bottom