Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hapo nimetumia Google translator. Imagine bro. 😁😁
Mimi kingereza niliacha kuandika siku ya mwisho nimemaliza chuo.
Nahisi nimesahau.
Ingefaa uanzishwe Uzi wa kuchat Kwa kingereza ili kuwanoa wale wenye vingereza vya kubembelezea mtoto alale