Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be careful kuna Wengine hawana nia Nzuri. Wao wanataka tu kuja kushuhudia U-shemale wako. Akakae kijiweni asimulie Kwamba ameshawahi kumwona Shemale.... Refer AGNES MASOGANGE alichofanyiwa. So be Careful
Jamani mbona hampo serious?
Nipo tayari tutafutane mengi zaidi tutaongea tukiwa wawili phone:0655200004Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina kiungo cha kiume pia.
Jamani sitaki utani,kejeli,kashfa matusi wala dharau.
Sichagui dini,kabila,rangi,umbo wala kipato(japo wenye kujiajiri/kuajiriwa watapewa kipaumbele),
Awe na umri kuanzia 29-32,
umri wangu ni 28,Mkristo na ninaishi Magomeni,DSM.
Alie tayari tuwasiliane zaidi.
Mungu awabariki.
Nipo tayari tutafutane mengi zaidi tutaongea tukiwa wawili phone:0655200004
Kiungo chako cha kiume kinasimama? Naogopa tukiudhiana usije nidropishia matone ya mkojo kwenye bia yangu, kisha nikalie KIGOGO
Nisikilize kwa Makini DAJANE... Kwa siye ambao tumesoma Female reproductin system na Genetics.... Na wewe tayari umeshasema Inayodominate ni ya Kiume. Kwa hakika hauna Uwezo wa Kuzaa au Kutengeneza Yai yaani Ovum na unauwezo wa kutengeneza Sperms mana umesema unaKORODANI Kabisa.. Ni bora ya kike ingekuwa na Nguvu na huna korodani tungesema ni Clitoris enlargement ambapo solution ipo....Kwahiyo hata kama unatafuta Mwanaume hautakuwa na furaha yoyote ile.
Ni bora ukabaki hivyo hivyo mana kwa Afrika ni Vigumu sana tena sana kuwa na Mme ambaye atavumilia hayo......
DaJane wasiliana nami haraka sana, coz ninahitaji mtu wa aina yako, email yangu ni : majidai_05@yahoo.com. Unaweza kuni inbox ur number pia. Siku njema and all da best.
you just have a bigger clitoris not a penis...