Am new member(utambulisho)

Wewe ulikuwa hujui umeelekezwa ukajua mpaka ukaweza kuingia jukwaa la dini na jukwaa la wakubwa....umewezaje kusoma huku ulikuwa hujui kama mimi????? jonax
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi ni underground mkongwe.

Ila nitakuelekeza...!

UNAFANYA HIVI;
unamtumia moderator pm, ukisema "naomba uniunganishe kwenye jukwaa a dini na jukwaa la wakubwa"

Baada ya hapo atakutumia msg na ww pm kywa tayari kashakuunganisha
 
Ubarikiwe nimekuelewa
 
Raha gani?
Wakati unatembea na mke wa mtu alavyo unaniona mm mumewe ni bwege
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
Tatizo ubahili umekuzidi.
Watu tunaojua kuhonga tunawakama wake za watu kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…