Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utaishia kupigiwa tu.Utafikia kipindi utahonga mpk roho yako
Hivi unamfahamu vzr jonax??Watu tunakula raha mkuu.
Nahrene atarudi kwani??Uyu youngblood kilichobakia ni kumloga tu
Sana tu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi unamfahamu vzr jonax??
Nilikiwa kwenye operation[emoji116]Kumbe ni wewe! Karibu sana, kwa nini ulichelewa kujitambulisha wakati wenzako walipokuwa katika zoezi hilo?
We utakua mkurya naona matumizi ya r na l yamekupiga chengaHuyu memba mpya kapata karibu za kumwaga kisa kaweka picha au? siwaelewi wakuu mbona wengine huwa hamtuchangamkii hivyo? huyu amekuwa maarufu "reo reo"
Ukiona hivyo sio mpya huyu-ID ndio mpya maana anajua hata mbinu za kuteka hisia za wanajukwaa
Ntamtumia nataka hilo la wakubwa kuhusu atajua kuhusu we dini gan[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi ni underground mkongwe.
Ila nitakuelekeza...!
UNAFANYA HIVI;
unamtumia moderator pm, ukisema "naomba uniunganishe kwenye jukwaa a dini na jukwaa la wakubwa"
Baada ya hapo atakutumia msg na ww pm kywa tayari kashakuunganisha
ushafikisha myaka 18? Maana watoto hawapewi ruhusaNtamtumia nataka hilo la wakubwa kuhusu atajua kuhusu we dini gan
Kwenda hukoNilikiwa kwenye operation[emoji116] View attachment 399007
Hivyo nmeshamaliza ndo mana nmekuja kujitambulisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nataka la wakubwa tu nisije nikaingizwa kwenye dini ambayo sio yangu ngoja nimpmKama utataka ka wakubwa tu, unamwambia hilo tu.. ila kama unataka yote mawili unamwambia pia.
Ila kuhusu dini hana haja ya kukuuliza dini yako kuwa ni ipi
Ukiruhusiwa usisahau kirudisha fashilaNataka la wakubwa tu nisije nikaingizwa kwenye dini ambayo sio yangu ngoja nimpm
We si mgeni humu??Kama utataka ka wakubwa tu, unamwambia hilo tu.. ila kama unataka yote mawili unamwambia pia.
Ila kuhusu dini hana haja ya kukuuliza dini yako kuwa ni ipi