Am new member(utambulisho)

Am new member(utambulisho)

Kumbe ni wewe! Karibu sana, kwa nini ulichelewa kujitambulisha wakati wenzako walipokuwa katika zoezi hilo?
 
Kumbe ni wewe! Karibu sana, kwa nini ulichelewa kujitambulisha wakati wenzako walipokuwa katika zoezi hilo?
Nilikiwa kwenye operation[emoji116]
1473701481295.jpg

Hivyo nmeshamaliza ndo mana nmekuja kujitambulisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu memba mpya kapata karibu za kumwaga kisa kaweka picha au? siwaelewi wakuu mbona wengine huwa hamtuchangamkii hivyo? huyu amekuwa maarufu "reo reo"
Ukiona hivyo sio mpya huyu-ID ndio mpya maana anajua hata mbinu za kuteka hisia za wanajukwaa
We utakua mkurya naona matumizi ya r na l yamekupiga chenga
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi ni underground mkongwe.

Ila nitakuelekeza...!

UNAFANYA HIVI;
unamtumia moderator pm, ukisema "naomba uniunganishe kwenye jukwaa a dini na jukwaa la wakubwa"

Baada ya hapo atakutumia msg na ww pm kywa tayari kashakuunganisha
Ntamtumia nataka hilo la wakubwa kuhusu atajua kuhusu we dini gan
 
Ntamtumia nataka hilo la wakubwa kuhusu atajua kuhusu we dini gan
Kama utataka ka wakubwa tu, unamwambia hilo tu.. ila kama unataka yote mawili unamwambia pia.
Ila kuhusu dini hana haja ya kukuuliza dini yako kuwa ni ipi
 
Kama utataka ka wakubwa tu, unamwambia hilo tu.. ila kama unataka yote mawili unamwambia pia.
Ila kuhusu dini hana haja ya kukuuliza dini yako kuwa ni ipi
Nataka la wakubwa tu nisije nikaingizwa kwenye dini ambayo sio yangu ngoja nimpm
 
Back
Top Bottom