Am new member(utambulisho)

Karibu sana. Ila una sura chafu Jonas kama unavyojibainisha kwenye picha. Mpua wako unatisha Jonas. Karibu hata hivyo.
 
ushafikisha myaka 18? Maana watoto hawapewi ruhusa
Weee, embu nitokeee hapa... usije ukanipeperushia ndege wangu.
Maana kule Kf nmekosa mchuchu hvyo nmeona nije huku kutafuta kwa njia nyingine alaf ww unataka kunipeperushia ndege wangu
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Karibu sana. Ila una sura chafu Jonas kama unavyojibainisha kwenye picha. Mpua wako unatisha Jonas. Karibu hata hivyo.
Pua yangu ikiwa kubwa inakuhusu nini?
Mbona ww una ma.ta.ko makubwa lakini mm sijakudiss?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jokes

But thanks broh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…