hio ni shida yake namba moja
no no yes yes...you know i know...siwapendi mademu wa hivi mimi
Ooh kumbe si wewe uliyeomba ushauri...basi ignore them msg. Nilikuwa naziaddress kwa muomba ushauri nadhani yeye ndo angenielewa sababu hata baadhi ya maneno nimequote kutoka kwake.
ohhhhhhh alright was quite surprised.... infact am also learning something coz me n her share some trains msichoke kutoa constructive comments
Sijaspecify hata ni MMED ya nini so am sure bado nimekuacha kapa....focus on advicing me rather than bringing up something else my sis...you're better than this
Acha kumpotosha mwenzako!
Unachotakiwa kumwambia ni aache kuwa desperate, aendelee kungoja atampata mwenza wake. Lkn sio kumshauri azae bila ndoa.
Afu kwani nani amewaambia muwaabudu wanaume mbona mnaexaggurate vitu??.nyinyi mmeambiwa mtii..au kutii ndo kuabudu mtu? Kwani we unavyowatii wazazi wako ni kwamba unamwabudu?..
Ngoja nijaribu kukusaidia
Kuna vitu vinavuomKEEP mwanaume (by the way some years back nilileta uzi wa how some are only attractors and not KEEPERS).
1. Altitute (heshima,usikivu,ucheshi, care etc)
2. Sex (utamu, utundu/ufundi, usafi)
3. Skills (usafi,upishi,motherhood,ushauri wa kimaendeleo etc)
4. Looks (usafi, kile ulichomvutia siku ya kwanza)
Sasa kuna vitu tumezaliwa navyo na kuna vitu twaweza jifunza au kujiboresha. Unaweza usiwe say 'mtamu' lkn ukawa mbunifu na mshauri ktk biashara/maendeleo na say una heshima. Kwa maneno mengine unatakiwa uoneshe kwa matendo na tabia jinsi gani atapoteza kama atakupoteza wewe. I mean aone gap lako. Sasa it is okay kusema you are fine the way you are and let no one change you; but again ni wewe ambaye unapata shida ya kushindwa kumkeep mpenzi so take a very good look of yourself halafu ona wapi unaweza kubadilika. Kuwa mnyenyekevu kidogo haimaanishi wewe ni weak. Kwa sisi wakristu Bwana wetu alishuka kutoka kwenye utukufu hadi kifo cha msalaba. So sio siku zote kushuka ni kupoteza elimu yako.
Kama hawezi kujishusha na kumnyenyekea mwanaume wake kwa maisha yao yote ya ndoa,bora azee tu.Sababu watatalakiana tu ni vigumu mno ku-pretend .nakuelewa sana aiseee you sound so damn realistic.... Sasa what's the solution?coz kupretend dumb au kumwabudu too much ni ngumu most of the time
You are just like me, almost in everything you've explained. Just few days ago I met a spiritual person who said it might be a curse or the effects of your mother/ first born of your family who had abortion.Good evening,
Am in my late 20s about completing my MMED. Ever since I got out of my first relationship with my first and d only man I have ever loved I have not been able to keep other men coming my way.
Am not really a bad person, am not even materialistic because even as an undergraduate I was working. No man I have ever dated that doesn t not wish to settle down with me but one thing will lead to another and there will be change in plan.
In fact am losing hope of ever getting married may be I should just get pregnant for my first love and be a single mother. Right now am single and I have been for more than a year. Please do u have any advice for me?
Thanks
Nina mengi ya kusema mabaya kuliko mazuri yake..lakini kiukweli he was a good man na mvumilivu,I might have pushed him away..through this post am starting to think maybe there are things abt me that should change....thank you
Ngoja nijaribu kukusaidia
Kuna vitu vinavuomKEEP mwanaume (by the way some years back nilileta uzi wa how some are only attractors and not KEEPERS).
1. Altitute (heshima,usikivu,ucheshi, care etc)
2. Sex (utamu, utundu/ufundi, usafi)
3. Skills (usafi,upishi,motherhood,ushauri wa kimaendeleo etc)
4. Looks (usafi, kile ulichomvutia siku ya kwanza)
Sasa kuna vitu tumezaliwa navyo na kuna vitu twaweza jifunza au kujiboresha. Unaweza usiwe say 'mtamu' lkn ukawa mbunifu na mshauri ktk biashara/maendeleo na say una heshima. Kwa maneno mengine unatakiwa uoneshe kwa matendo na tabia jinsi gani atapoteza kama atakupoteza wewe. I mean aone gap lako. Sasa it is okay kusema you are fine the way you are and let no one change you; but again ni wewe ambaye unapata shida ya kushindwa kumkeep mpenzi so take a very good look of yourself halafu ona wapi unaweza kubadilika. Kuwa mnyenyekevu kidogo haimaanishi wewe ni weak. Kwa sisi wakristu Bwana wetu alishuka kutoka kwenye utukufu hadi kifo cha msalaba. So sio siku zote kushuka ni kupoteza elimu yako.
hio ni shida yake namba moja
no no yes yes...you know i know...siwapendi mademu wa hivi mimi
brenda18 nimetafsiriwa subiri nijipange nije nikushauri,
Ila sijui hata nakushauri nini wakati hata mie nina tatizo kama lako!! Ngoja kwanza nisome comments za watu nami nijifunze maana huu moyo umenigomea kabisaaaaa kupenda tena.
Mademu wa hivi huwapendi because they symbolize what exactly???
At this centuary language should not be a big deal
Yani katika watu woote peke ako ndio umecomment hivyo,itakuwa ni wewe mwenye tatizo
I've not mentioned kuwa ts wrong for a woman to be able to support herself...tena ni vizuri sana tu.Ila badilisha kauli zako. Kauli zako zimejaa kujikweza sanaa.
Afu nashangaa kitu kimoja iv umekuja kuomba ushauri au kuanzisha malumbano ya hoja?Sababu km kweli unaomba ushauri ilitaliwa ukae tu usome nn watu wanakushauri thn ww mwenyewe utadigest upi wa kuuchukua upi wa kuuacha.
Kwa kifupi tu nilivyokusoma wewe ni mtu wa kujikweza sana. Hupendi kushuka chini na kusikiliza unachoambiwa...unapenda kulumbana "much know". Sasa hiyo hulka si nzuri haswa kwa mtoto wa kike.
Ukifunguliwa ktk hilo..utaweza kukaa na mwanaume.
Yani baada ya kujibu tu naonekana najikweza kwani kila nilichojibu nilikuwa nabisha mbona nimekubaliana na ushauri wa watu wengi?