Ngoja nijaribu kukusaidia
Kuna vitu vinavuomKEEP mwanaume (by the way some years back nilileta uzi wa how some are only attractors and not KEEPERS).
1. Altitute (heshima,usikivu,ucheshi, care etc)
2. Sex (utamu, utundu/ufundi, usafi)
3. Skills (usafi,upishi,motherhood,ushauri wa kimaendeleo etc)
4. Looks (usafi, kile ulichomvutia siku ya kwanza)
Sasa kuna vitu tumezaliwa navyo na kuna vitu twaweza jifunza au kujiboresha. Unaweza usiwe say 'mtamu' lkn ukawa mbunifu na mshauri ktk biashara/maendeleo na say una heshima. Kwa maneno mengine unatakiwa uoneshe kwa matendo na tabia jinsi gani atapoteza kama atakupoteza wewe. I mean aone gap lako. Sasa it is okay kusema you are fine the way you are and let no one change you; but again ni wewe ambaye unapata shida ya kushindwa kumkeep mpenzi so take a very good look of yourself halafu ona wapi unaweza kubadilika. Kuwa mnyenyekevu kidogo haimaanishi wewe ni weak. Kwa sisi wakristu Bwana wetu alishuka kutoka kwenye utukufu hadi kifo cha msalaba. So sio siku zote kushuka ni kupoteza elimu yako.