Am not materialistic but I still can't keep a man


Sorry video too long. No time.

I don't think wanawake wanatokaga na wanaume na kuringia vyeti....unaongelea mambo ya kufikirika.

Jamani me Nina Dada yangu kamaliza degree ya physics mwaka huu.... Mtoto anataka kuendelea na masters. Mwee. kachumbiwa na mjerumani....siku nimemuuliza shem why do you love my sister. "common, you've got to love a physicist" . NINAJUTA KUACHA PHYSICS. Hahaa.

Kwahiyo bwana we jiongelee mwenyewe Kuna wanaume wakisikia mtoto Ana degree ya physics mguu wa tatu unakaa attention. Success yake sio "bonus".
 

Your comments in JF suggest otherwise...............
 


Katika ubora wako.....
 
@brenda18, hujambo mdogo wangu. Hii sredi ni ya lini tena!???

"But unless you let go of the past, you will never be able to cherish the present" - Mentor
 


U spoke my mind,Very true.
Denying my responsibility towards u makes me feel unwanted n unimportant.
 

Ukweli mtupu.
 
Pole sana..
Mimi na machache hasa kutokana na uzoefu kidogo nilioupata toka kwa rafiki yangu mmoja wa kike alikua na tatizo kama lako ... alikua ni mrembo, amesoma vizuri, anakazi nzuri ila tatizo likawa hapati mwanaume wa ukweli ambaye anamwitaji kwa ajili ya kuanzisha nae familia. Ameteseka sana coz mara nyingi mahusiano yake haya zidi miezi 6. Mpaka akadhani amelogwa au sijui hana bahati.
Katika pilika pilika akaanzisha mahusiano na najamaa naemfahamu vizuri ila miezi 4 tu jamaa akaanza kulegeza uzi.. nikamuuliza jamaa yangu shida nini? aliniambia kitu ambacho siku amini "'eti kuwa Huyu Dada ana tabia ya ajabu. ikabidi nimdodose jamaa aliniambia hawezi kwasababu ya vitu vichache tu ambavyo angabadilika angemweza ila kajaribu kumweleza kila mara ila wanaishia kwenye ugomvi.
akaniambia ni:-
  1. TABIA YA KUJIAMINI SANA:- Kwamba yani wapo kwenye mapenzi ila huyo Dada anaonekana wala mapenzi sio muhimu kama ratiba zake nyingine. so jamaa anaona kama yeye hana umuhimu.
  2. KUJIFANYA ANAJUA KILA KITU:- mara nyingi wanaishia kubishana saana kwa issue ndogo tu kisa bibie yeye kazoea kushinda kila ubishani.
  3. KUWA NA MISIMAMO NA KUONYESHA YEYE AKIAMUA AMAEAMUA HAKUNA KURUDI NYUMA.
  4. UBINAFSI WA WAZI WAZI KWA KILA KITU.
ingawa yule jamaa waliaachana ila mi nikaamua kumwambie yule bibie ukweli kuwa kuna vitu anatakiwa ajirekebishe ili aweze kuishi na wanaume. kimoja wapo ni kujishusha kidogo na kuacha hizo tabia zinazokwaza wenzake. alikataa ila najua amejirekebisha koz leo ni mwaka tangu hayo yatokee na juzi kaniletea kadi ya mchango wa harusi .. inawezekana kafanikiwa kubadilika au kampata ambaye kambadilisha.
:A S-fire1:YANGU HAYO.:A S-fire1:​
 
What do they suggest??

Your comments suggest......see below....Wewe na housegirl mko group yenye characters hizo hapo chini. Watu wenu wapo ila ni wachache sana.

 
Last edited by a moderator:
Your comments suggest......see below....Wewe na housegirl mko group yenye characters hizo hapo chini. Watu wenu wapo ila ni wachache sana.

Hahahaa 1,3&4 ni kweli...ila katika wachache I think I found one,inshallah iwe kheri
 
Last edited by a moderator:
When you put ur pride first no man will be zere 4 you... They need to be respected and their presence to be acknowledged... Just put ur pride aside and pray that u get a man of ur own... Coz it feels so good hny..... We hav to work bt our families are also important
 


Kila mtu amezaliwa na bahati yake.
Utajikuta unapoteza muda wako tu.
 
Stop looking for love just live your life, love will find you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…