Am not materialistic but I still can't keep a man

angalia hiii
https://www.youtube.com/watch?v=YKKOwRE2V3o

The Rules Revisited: Men Don't Care About Your Accomplishments

Ninaona wanawake wengi sana wanaringa na wako tayari kujinadi mimi nina phd nina masters....usithubutu. Onesha interest ya kumjua yeye basi. kisomo chako na success yako ni bonus to kwake ila haitakuwa sababu ya mwanaume kukupenda.

Sorry video too long. No time.

I don't think wanawake wanatokaga na wanaume na kuringia vyeti....unaongelea mambo ya kufikirika.

Jamani me Nina Dada yangu kamaliza degree ya physics mwaka huu.... Mtoto anataka kuendelea na masters. Mwee. kachumbiwa na mjerumani....siku nimemuuliza shem why do you love my sister. "common, you've got to love a physicist" . NINAJUTA KUACHA PHYSICS. Hahaa.

Kwahiyo bwana we jiongelee mwenyewe Kuna wanaume wakisikia mtoto Ana degree ya physics mguu wa tatu unakaa attention. Success yake sio "bonus".
 
Good evening,

Am in my late 20s about completing my MMED. Ever since I got out of my first relationship with my first and d only man I have ever loved I have not been able to keep other men coming my way.

Am not really a bad person, am not even materialistic because even as an undergraduate I was working. No man I have ever dated that doesn ' t not wish to settle down with me but one thing will lead to another and there will be change in plan.

In fact am losing hope of ever getting married may be I should just get pregnant for my first love and be a single mother. Right now am single and I have been for more than a year. Please do u have any advice for me?

Thanks

Your comments in JF suggest otherwise...............
 
Sorry video too long. No time.

I don't think wanawake wanatokaga na wanaume na kuringia vyeti....unaongelea mambo ya kufikirika.

Jamani me Nina Dada yangu kamaliza degree ya physics mwaka huu.... Mtoto anataka kuendelea na masters. Mwee. kachumbiwa na mjerumani....siku nimemuuliza shem why do you love my sister. "common, you've got to love a physicist" . NINAJUTA KUACHA PHYSICS. Hahaa.

Kwahiyo bwana we jiongelee mwenyewe Kuna wanaume wakisikia mtoto Ana degree ya physics mguu wa tatu unakaa attention. Success yake sio "bonus".

Katika ubora wako.....
 
@brenda18, hujambo mdogo wangu. Hii sredi ni ya lini tena!???

"But unless you let go of the past, you will never be able to cherish the present" - Mentor
 
Usijifanye independent sana, mwanaume anajisikia vizuri anapogharimia hata kidogo na wewe ukiappreciate mchango wake. Pia dont be too nice utamboa maana hapati changamoto. Muoneshe ni wajibu wake kukunulia say lotion hata kama una million mia bank. Nawe mnunulie kitu kingine kama deodorants au boxer in return. Usijifanye kuwa humuhitaji financially au materially as you put it.

U spoke my mind,Very true.
Denying my responsibility towards u makes me feel unwanted n unimportant.
 
YOU said it right wanaume hatupendi sana too independent girls lakini pia too demanding atajua achunwa hapa, kwahiyo a girl in need naye asisumbuke kutafuta a male angel hatapata ni lazima ajue kuwa wanaume watakaomuoa ni hao hao anao interact nao na siyo hao mnaosema wanatoka kwa mungu,
lakini pia hapaswi kutafuta mume kwa kufanya utafiti hatapata kila mtu atamuona anamapungufu mengi tu nilishajaribu mimi nikachemsha kwa sababu ilikuwa kila binti unayekutana naye lazima uchunguze kila kitu mwilini mwake ndo uanze na tabia shida tupu nikafeli nikajikalia kusubiri siku ya maamuzi magumu.

lakini pia kutokuolewa asilione kuwa ni tatizo atapata stress na kuyachukia mapenzi kama ugonjwa badala yake ajitulize vizuri afanye kazi zake vizuri tu wanaume watamuona tu.

Ukweli mtupu.
 
Pole sana..
Mimi na machache hasa kutokana na uzoefu kidogo nilioupata toka kwa rafiki yangu mmoja wa kike alikua na tatizo kama lako ... alikua ni mrembo, amesoma vizuri, anakazi nzuri ila tatizo likawa hapati mwanaume wa ukweli ambaye anamwitaji kwa ajili ya kuanzisha nae familia. Ameteseka sana coz mara nyingi mahusiano yake haya zidi miezi 6. Mpaka akadhani amelogwa au sijui hana bahati.
Katika pilika pilika akaanzisha mahusiano na najamaa naemfahamu vizuri ila miezi 4 tu jamaa akaanza kulegeza uzi.. nikamuuliza jamaa yangu shida nini? aliniambia kitu ambacho siku amini "'eti kuwa Huyu Dada ana tabia ya ajabu. ikabidi nimdodose jamaa aliniambia hawezi kwasababu ya vitu vichache tu ambavyo angabadilika angemweza ila kajaribu kumweleza kila mara ila wanaishia kwenye ugomvi.
akaniambia ni:-
  1. TABIA YA KUJIAMINI SANA:- Kwamba yani wapo kwenye mapenzi ila huyo Dada anaonekana wala mapenzi sio muhimu kama ratiba zake nyingine. so jamaa anaona kama yeye hana umuhimu.
  2. KUJIFANYA ANAJUA KILA KITU:- mara nyingi wanaishia kubishana saana kwa issue ndogo tu kisa bibie yeye kazoea kushinda kila ubishani.
  3. KUWA NA MISIMAMO NA KUONYESHA YEYE AKIAMUA AMAEAMUA HAKUNA KURUDI NYUMA.
  4. UBINAFSI WA WAZI WAZI KWA KILA KITU.
ingawa yule jamaa waliaachana ila mi nikaamua kumwambie yule bibie ukweli kuwa kuna vitu anatakiwa ajirekebishe ili aweze kuishi na wanaume. kimoja wapo ni kujishusha kidogo na kuacha hizo tabia zinazokwaza wenzake. alikataa ila najua amejirekebisha koz leo ni mwaka tangu hayo yatokee na juzi kaniletea kadi ya mchango wa harusi .. inawezekana kafanikiwa kubadilika au kampata ambaye kambadilisha.
:A S-fire1:YANGU HAYO.:A S-fire1:​
 
What do they suggest??

Your comments suggest......see below....Wewe na housegirl mko group yenye characters hizo hapo chini. Watu wenu wapo ila ni wachache sana.

Last edited by a moderator:

Hahahaa 1,3&4 ni kweli...ila katika wachache I think I found one,inshallah iwe kheri
 
Last edited by a moderator:
When you put ur pride first no man will be zere 4 you... They need to be respected and their presence to be acknowledged... Just put ur pride aside and pray that u get a man of ur own... Coz it feels so good hny..... We hav to work bt our families are also important
 
Sorry video too long. No time.

I don't think wanawake wanatokaga na wanaume na kuringia vyeti....unaongelea mambo ya kufikirika.

Jamani me Nina Dada yangu kamaliza degree ya physics mwaka huu.... Mtoto anataka kuendelea na masters. Mwee. kachumbiwa na mjerumani....siku nimemuuliza shem why do you love my sister. "common, you've got to love a physicist" . NINAJUTA KUACHA PHYSICS. Hahaa.

Kwahiyo bwana we jiongelee mwenyewe Kuna wanaume wakisikia mtoto Ana degree ya physics mguu wa tatu unakaa attention. Success yake sio "bonus".

Kila mtu amezaliwa na bahati yake.
Utajikuta unapoteza muda wako tu.
 
Back
Top Bottom