housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,192
angalia hiii
https://www.youtube.com/watch?v=YKKOwRE2V3o
The Rules Revisited: Men Don't Care About Your Accomplishments
Ninaona wanawake wengi sana wanaringa na wako tayari kujinadi mimi nina phd nina masters....usithubutu. Onesha interest ya kumjua yeye basi. kisomo chako na success yako ni bonus to kwake ila haitakuwa sababu ya mwanaume kukupenda.
Sorry video too long. No time.
I don't think wanawake wanatokaga na wanaume na kuringia vyeti....unaongelea mambo ya kufikirika.
Jamani me Nina Dada yangu kamaliza degree ya physics mwaka huu.... Mtoto anataka kuendelea na masters. Mwee. kachumbiwa na mjerumani....siku nimemuuliza shem why do you love my sister. "common, you've got to love a physicist" . NINAJUTA KUACHA PHYSICS. Hahaa.
Kwahiyo bwana we jiongelee mwenyewe Kuna wanaume wakisikia mtoto Ana degree ya physics mguu wa tatu unakaa attention. Success yake sio "bonus".